Peaky blinders
JF-Expert Member
- May 8, 2023
- 3,889
- 7,083
Anajifariji tu.Usitutishe mkuu, ebu tafuta hela mazee...☹️
Anajiona mwana intelligencia wa mbinguni.
Anajifariji tu.Usitutishe mkuu, ebu tafuta hela mazee...☹️
Si umesema milima inaporomoka, huo wa maombi hautaporomoka? 🤔Bondeni mafuriko, mlimani, Milima inaporomoka,
Wapi pa kukimbilia?
Tuvae magunia na kupanda mlima wa Maombi.
Aaamen
Umeongea ukweli mtupu.Kwani dhambi zimeanza kutendwa kipindi hiki? Mungu hana mda wa kuukumu binadamu nusu nusu kama vile anawaogopa.
Watoto wachanga na wengine wasio na hatia Mungu anawajua,,,,,labda uwaonye hao wa kuelekea 2025 huko kwa wataalam wao wanapoenda kutoa makafala na wale wa December na January ajali kuzidi barabarani hao ndo wabadilike kiama ni chaoWatoto wachanga, wataubebaje msalaba wao ikiwa tusiposimama kuombea familia, Taifa na Ulimwengu?
HakikaMnaturudisha kwenye giza.
Binadamu watakaokuja miaka 1000 ijayo watatucheka sana kwa mawazo ya kijinga kama haya.
Soma Mathayo 24 yote, hayo yameongelewa,Acha ujinga wa kilokole hakuna pahali Mungu kwenye Agano jipya analeta majanga huo ni upotoshaji mkubwa wa Babaako Ibilisi,
God Is Love,
Mungu kwenye Agano hili anajitambulisha kama Mungu wa upendo na zaidi ya yote hawahesabii watu maovu yao bali ametoa Neema kupitia Bwana Yesu Kristo kila amwaminiye asipotee,
Now tupo kipindi ambacho just a single soul ndio inaokolewa au inaangamia ni chaguo lako as a single person na
Sio majority of People,
Mungu wa upendo hawezi angamiza watu kwa majanga wakati anataka kila nafsi iokoke hayo ni mafundisho ya kishetani na Sio Ukristo
Kwahiyo nasemaje wewe
Rabbon Get The FvC Out Of Here (GTFOH)
Hi nawashangaa sana hasa watu hivi wajua ubabe wa Dunia ya kale?Ni vile tu watu wavivu wa kusoma Historia au wanajisahaulisha tu
Dunia tunayoishi sasa ni dunia bora na salama kabisa ukilinganisha na dunia za enzi hizo
Mlima wa maombi hauporomoki, Si mlima halisi kama unavyoshani, ni something spiritual.Si umesema milima inaporomoka, huo wa maombi hautaporomoka? 🤔
Ungekuwa pale goma, bukavu au Gaza, sudani,usingesema Dunia ni salama,Ni vile tu watu wavivu wa kusoma Historia au wanajisahaulisha tu
Dunia tunayoishi sasa ni dunia bora na salama kabisa ukilinganisha na dunia za enzi hizo
Hayo yote aliyoyasema Yesu yalishatimia kijana aliwaambia hayana budi kutimia na hao wanafunzi wake watayashuhudiaSoma Mathayo 24 yote, hayo yameongelewa,
Pia soma kitabu Cha ufunuo wa Yohana yote hayo yameongellewa.
Kumbe na Ulimwengu ulioandikwa utachomwa moto, ni hapo Israel pekee?Hayo yote aliyoyasema Yesu yalishatimia kijana aliwaambia hayana budi kutimia na hao wanafunzi wake watayashuhudia
Na hayo yalitimia yote Mwaka 70 AD tu baada ya jeshi la Warumi ku siege Jerusalem na kuuangamiza na Israelites kutawanywa,
Elewa content ya huo unabii uliwahusu Israelites na Sio mataifa!
Ufunuo wa Yohana ulikua unafunua ufalme wa Mungu,Soma Mathayo 24 yote, hayo yameongelewa,
Pia soma kitabu Cha ufunuo wa Yohana yote hayo yameongellewa.
Hakuna Ulimwengu utachomwa moto wewe ila mwovu ataondolewa na watakatifu wataulithi milele,Kumbe na Ulimwengu ulioandikwa utachomwa moto, ni hapo Israel pekee?