- Thread starter
- #41
Vita zinazoendelea duniani na maelfu wanakufa, hiyo neema Iko wapi inayoongezeka?Ufunuo wa Yohana ulikua unafunua ufalme wa Mungu,
Enzi na mamlaka aliyopewa Bwana Yesu kiufupi huo ni unabii timilifu Sio unabii unaongojewa,
Watu wengi mnadhani ule ni unabii utakaokuja ila ule unabii ulianza timizwa pale Bwana Yesu Kristo anakufa msalabani anafufuka na kupewa mamlaka,
Ule ni unabii timilifu kama ulivyo wa Daniel kila kitu kilimalizika zamani sana now tupo kwenye maisha ya wakati,
We live life through Lord Jesus na ndio maana amani ya ufalme wake inaongezeka ukilinganisha na zamani za utawala wa Giza,
Maandiko yanasema kadri ufalme wa Mungu unavyoongezeka na amani ya Kristo inaongezeka
Hiyo inatokea natural tu
Hivi huoni now watu wa mataifa yote wana amani na Mungu?
Hivi huoni kwamba now watu wanamtafuta Mungu hata kwa kupapasa ukilinganisha na zamani za giza?
Wakristo walioko Kongo, Israeli Kila siku wananusurika kuripuka na mabomu, hao wako nyakati zipi?
Nyakati tulizopo ndizo hizo zimeandikwa Mt 24 na Ufunuo,
Usilolijua, MUHURI wa nne umefunguliwa, Malaika aliyepanda farasi wa kijivu ndiye ameruhusiwa kuua theluthi ya watu duniani.