Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 4,912
- 12,988
Shusha uzi
Inaboa madoido mengi na maelezo kibao yasiyo na maana
kwanza anavyoandika ni hovyo ,mpaka aelezee kilichotokea atazunguka sana na kuingia kwingine ,ana mtindo mbovu sana wa uandishi au wa kizee mnoAfu huyu jamaa bonge ya bwege mana anajifanya tapeli kwa kuanzisha kigroup Cha WhatsApp, kujiunga unalipia 3,000 anashare vistrory viwili vitatu unakwambia lipia tena upate story zingine! Ni mwizi tu kwa vistory vya kuunga unga tu
kwanza anavyoandika ni hovyo ,mpaka aelezee kilichotokea atazunguka sana na kuingia kwingine ,ana mtindo mbovu sana wa uandishi au wa kizee mno
Andika yako usizunguke zungukekwanza anavyoandika ni hovyo ,mpaka aelezee kilichotokea atazunguka sana na kuingia kwingine ,ana mtindo mbovu sana wa uandishi au wa kizee mno
Mkuu watu na namna wakaushie tu, haina umuhimu kuwajibu, maana wanajaribu kukutoa kwenye reli.Mkuu kama unaona wa kizee pita kushoto maana unaonekana hujui makala ni nini, werevu wanaelewa... Punguza makasiriko
Mkuu hapo unaongelea ujambazi wa benki ya NBC, hii ni ujambazi wa NMBAisee,inaendelea lini? Nataka nione hadi yule mnyaturu mshamba alivyowaanika wenzake kwa kukimbilia kununua murano kwa pesa ambayo bado haikuwa kwenye mzunguko,tena akaandikisha na details zake zote kikamilifu,hiyo ni baada ya kukwapua ile 5.3 billion, mwenzao Jackson john tumemzika last year,alifia magereza moshi,na jamaa aliyewapa gari waliyoitumia siku ya tukio anaitwa happy,yeye yuko uraiani,ila maisha yamemchapa kiaina,na wakati huo ndiyo alikuwa ametoka zake udsm na kuotea kazi ya maana,akapewa na gari ya kutembelea,yeye akawaazima manyangau,yeye baada ya kutoka jela na kibarua kiliishia hapo,japo hakukutwa na hatia! Maisha haya!!!
Aisee,inaendelea lini? Nataka nione hadi yule mnyaturu mshamba alivyowaanika wenzake kwa kukimbilia kununua murano kwa pesa ambayo bado haikuwa kwenye mzunguko,tena akaandikisha na details zake zote kikamilifu,hiyo ni baada ya kukwapua ile 5.3 billion, mwenzao Jackson john tumemzika last year,alifia magereza moshi,na jamaa aliyewapa gari waliyoitumia siku ya tukio anaitwa happy,yeye yuko uraiani,ila maisha yamemchapa kiaina,na wakati huo ndiyo alikuwa ametoka zake udsm na kuotea kazi ya maana,akapewa na gari ya kutembelea,yeye akawaazima manyangau,yeye baada ya kutoka jela na kibarua kiliishia hapo,japo hakukutwa na hatia! Maisha haya!!!
Umeelewa hapo? Story anayoongelea mdau huyo haihusiani na story ninayoelezea, ni amechanganya matukio... Ukisoma kichwa cha habari utaelewamsimuliaji naye mambo mengi,sijui kaanzishaje story huku hana muda wa kuiandaa!!!!
Ukipata muda tafadhali gisia na ujambazi uliotokea NBC ubungo, kunawatu ilitugusa moja kwa moja,ila hatufaamu nini kilitokea. Asante Mkuu kwa simulizi maridhawa.Mkuu hapo unaongelea ujambazi wa benki ya NBC, hii ni ujambazi wa NMB
Pata picha story kama hii angeiandika the boldJamaa labda apate msaada wa waandishi wazuri humu ndani kama akina GuDume , General garadudu n.k maana uandishi wake una bore kusoma anarudia rudia, hajui kupangilia story ikaeleweka,lugha pia si nzuri sana katika masimulizi. Nadhani mwisho wa siku atasea muende kwenye group lake la whatsapp au insta kama sikosei. Naona hapa kuna kupigwa pesa kwa baadhi ya watu. Msije sema sikusema
Sure naye ni mwandishi mzuriPata picha story kama hii angeiandika the bold
Ajaze kitabu ili kiwe kikubwa akiuze ,kwani atafanyeje watu waone kuwa Kuna uhalali wa kuitoa hela iyo around 11$Inaboa madoido mengi na maelezo kibao yasiyo na maana