Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.
Yupo mmoja Mganga wa ukweli, ana tv ya kuona mpaka aliyekuroga, na lini,na kwa namna gani alikuroga.
 
Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.
Ndo unataka kujiua kwa ivyo vjitatizo? Mbona kwangu iyo ni neema kabsa ,kuna watu wana matatzo usiombe akuambie
 
Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Wengine ushauri Kama huu mpk ulipie Mungu akuweke kaka
 
Haya maisha ya ajabu sana kuna watu hawakutani na matatizo kabsa na uishi kwa furaha tu na hawamtegemei mganga wala kuwa na imani kali...
Hakika ulimwengu una masahibu sana....
 
Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.
Naona kama kuamin kama kuna Mungu ww huamin ,na inaonekana imani yako IPO kwa waganga na mizmu zaidi kulko Mungu. Sasa kuombewa na watumishi haitawezekana huku ukiamin katka hao waganga
 
Pole sana.kuna wengine wana matatizo zaidi kuliko wewe.punguza misaada. Jiwekee malengo. Hiyo hiyo laki mbili ipunguzie matumizi .kama unaweza biashara fikiria unachoweza ili ufanye na huku una kazi yako.nina rafiki yangu mshahara wake ni chini ya huo ila yeye ni mpishi Wa keki ilimchukua miaka 8 kuweza kujenga kisehemu kununua vifaa na kuajiri mtu Wa biashara hiyo ya keki.maana alidunduliza miaka yote. Usiwe na haraka ukajihisi umechelewa.
Acha mawazo acho hayo ni madogo wengi wana mazito zaidi,
 
Pole

Wenzio tunaingiza 5,000.00 tu kwa siku na tupo happy

Unahitaji kanseling
 
Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.
Mkuu pole sana! Lakini pengine nikushauri kwamba kama kweli ukiamua kwenda kanisani, basi nenda huku na uwe unatoa kikumi 10% mambo mengine ni hila za shetani kutaka kukulostisha kabisa. Na hivi unavosema kujiua ndio yule Lucifa anashangilia manake anaona amekaribia kufikia malengo. Acha na mawazo hayo utampa ushindi wa mezani. wewe mgeukie Mungu tu na usiende kanisani kwa niaba ya kujalibu wachungaji. Nenda na dhamira ya kweli ya kukataa roho ya mauti. Acha kwenda kwa waganga, manake shiriki pia ni kazi ya shetani!
 
Watu wametoa ushauri nasaha ,ule wa muhimu uchukue na ufanyie kazi..
Kinyume na hapo uamuzi uko mikononi mwako..

Kwanza nikuulize Mkuu wewe chama gani..??
 
Ndugu yangu nimebadili nyumba za kupanga nikifikiri labda zina madudu yaani Nina ajira lakini bado nakosa furaha na cjui ni marafiki nilionao nikanunua usafiri lakini cku nimepaki nyumbani nikakuta kitu cha ajabu bonet ya mbele imefunguliwa mtu kachomoa oil stick tu kisha kaweka juu ya injini aikupita cku tatu nilipata ajali mbaya lakini nikapona ucku naota mambo ya ajabu naona sura lakini czfahamu nimeshakutana nazo wapi na ndoto moja inaweza kuja kujirudia mwezi mmoja baadae alafu isitoshe maisha ya utotoni niliteseka sana na uchawi sumbawanga ikiwemo kujikuta nimelala nje wakati nilikuwa ndani isije kuwa bado na andamwa maana kuna vifo vilitokea kwenye familia ni vyakutatanisha koo yangu inaendekeza ushirikina sana hata ndugu upande wa baba hawashikamani mpaka utokee msiba hapo patakuwa na majungu na ugomvi yaani kifupi naichukia family tree yangu inanifanya nisi ishi maisha yangu halisi ya upendo na amani

Naona upo depressed and unself- prophecy nyingi. Nashauri utafute counselor upate counselling na uwe karibu na Mungu, I mean pray kila wakati yataisha yote
 
Kabla haujajiua hakikisha unaweka sawa mambo muhimu yafuatayo:-
1.Acha ujumbe ukieleza kwa nini umechukua uamuzi huo ili kupunguza usumbufu wa polisi na maswali yasiyo na majibu.
2.Kama una chochote kitu andika kabisa nani anatakiwa arithi nini,mgawanyo wa ivyo vitu.
3.Password za bank,mobile money ni muhimu ukazinandika sehemu ili mambo ya mwanzo yafanywe kwa pesa zako.
4.Hakikisha sehemu unatayotumia kujiulia isiwe ya kujificha yaani usije ukakaa muda mrefu bila kujulikana.
Ni bora ufuate kile nafsi yako inakutuma maana mwenzetu umeshagundua kua ukijiua unaenda kuishi maisha ya raha na starehe.
 
Ndugu yangu nimebadili nyumba za kupanga nikifikiri labda zina madudu yaani Nina ajira lakini bado nakosa furaha na cjui ni marafiki nilionao nikanunua usafiri lakini cku nimepaki nyumbani nikakuta kitu cha ajabu bonet ya mbele imefunguliwa mtu kachomoa oil stick tu kisha kaweka juu ya injini aikupita cku tatu nilipata ajali mbaya lakini nikapona ucku naota mambo ya ajabu naona sura lakini czfahamu nimeshakutana nazo wapi na ndoto moja inaweza kuja kujirudia mwezi mmoja baadae alafu isitoshe maisha ya utotoni niliteseka sana na uchawi sumbawanga ikiwemo kujikuta nimelala nje wakati nilikuwa ndani isije kuwa bado na andamwa maana kuna vifo vilitokea kwenye familia ni vyakutatanisha koo yangu inaendekeza ushirikina sana hata ndugu upande wa baba hawashikamani mpaka utokee msiba hapo patakuwa na majungu na ugomvi yaani kifupi naichukia family tree yangu inanifanya nisi ishi maisha yangu halisi ya upendo na amani

Pole sana. Home kwenu ni Sumbawanga?
 
Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi

Mkuu hii ya chumvu ikoje aisee
 
Mkuu mshana Jr comment yako itafanyiwa kazi na watu wengi sana humu.Mungu akubariki
 
Jitambue,kuwa na msimamo acha kuabudu hisia za watu kuwa na malengo hakikisha haipiti wiki hujagombana na mtu kisha niletee mrejesho hapa.
 
Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.
Pole Sana mkuu,mambo Kama hayo ni majaribu ya ibilisi hupaswi kukata tamaa.funga siku Saba ukiomba kwa imani kisha katoe sadaka yako kwa kuwajar wahitaji mfano yatima, wagonjwa bila kuumia moyo Kwa kile ukitoacho. Baada ya hapo toa fungu la kumi kwa mwenyewe kila mwaka nakuhakikishia utarudi hapa kunitafuta.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom