Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,242
Sasa mshana kwa sisi ambao kula lazima kuoga hiari tunafanyajeChukua chumvi ya mabonge changanya kwenye maji ya kuogea kisha ogea mara moja ama mbili kwa siku
Sasa mshana kwa sisi ambao kula lazima kuoga hiari tunafanyajeChukua chumvi ya mabonge changanya kwenye maji ya kuogea kisha ogea mara moja ama mbili kwa siku
Kwanza mpokee Yesu Kristo. Mengine yataji sort yenyeweNdio sasa nipo Egt wapo karibu na mm na huwa wanakuja kuniombea na kunirudisha kwenye imani coz hata maadili yangu yalianza kuporomoka c mm yule kabla cjashika hela nimekuwa mtu nicye jipenda kama mwanzo nachokipata naona kinatosha kwa maisha lakini si kioni ninachofanya cha maana maisha yangu lakini nayachukia ,ndoto za kutisha ,usiku naota sura za watu ambao cjawahi kuziona lakini nikiamka taswira zao niliowaota zipo kichwani ila cwajui inapita cku naota tena sura hizohizo huku maisha hayo yakijirudia mpaka nakosa furaha ,Mara naota nakabwa usiku naongea peke yangu au kupiga kelele nakushtuka mpaka baadhi jirani washawahi kuniuliza na hata wadada niliokuwa nao kimahusiano wana niambia huwa naongea vitu visivyo eleweka usiku kama nagombana na mtu lkn mm cjibu kitu coz ni kweli huwa najibizana na hizo sura nisizo zifahamu kwa kusema mshindwe kwa jina la yesu ila huwa sauti nahisi haitoki
Halfu ushuri mwingine. Kama umefikia umri wa kuoa jaribu kutafuta mwanamke understanding umuoe. Unajua ku/share matatizo na mwenza wako inakuwa nafuu. Lakini uwe mwangalifu usioe kwa papara kwani ukioa asiyekuelewa ujue kuwa utakata tamaa zaidi. Ukioa na kujaliwa kupata watoto nao ni wazuri kwenye kukupa kampani. Kishi na watoto kwenye nyumba ni burudani tosha.Nashukuru ndugu Nina historia ndefu sana na hata haya majaribu yakujiua nikama la 17toka utotoni Nina story ndefu sana ambayo IPO siku Nita jaribu share. Nanyi kuanzia magumu ,kufunga nakuomba kanisani mpaka kufikia kuweka nadhiri kwa mungu maana maisha yalikuwa dhiki na mateso mapaka kufikia kuweza kujitegemea lakini ckuwahi kuwa na furaha hata nilipofikia kujitegemea na nilipo ingia kwenye mahusiano ndo nilizidi kuyachukia maisha ,dunia ,na wakazi wake mwanzo nilifikir pesa ina leta furaha lakini nimekuja gundua furaha yangu c pesa. Bali upendo nilio hukosa kwenye familia toka mdogo lkn sasa Nina kitu wanaiona bora na kunisumbua mpaka naona dunia ckuja kufurahi Bali Ku umizwa mm na mm kurudisha furaha kwa walioniumiza nilitendwa sana mapaka nimekuwa mtu wa hasira na bado paranormal activities zinanisumbua toka utotoni mpaka sasa cwez kulala bila kuwaona hao watu
Yaani mkuu wapo kabisa hawapo kwa mganga wala kwenye imani lakini wanaishi vizuri kabisa bila shida yeyoteHaya maisha ya ajabu sana kuna watu hawakutani na matatizo kabsa na uishi kwa furaha tu na hawamtegemei mganga wala kuwa na imani kali...
Hakika ulimwengu una masahibu sana....
Hiyo nadhiri yako ikamilishe kama ulipo ahidi, tena peleka kwa huyo kasisi wako kisha mpe Mungu kazi mwambie teyari nimetimiza hiyo nadhiri, kabla ya kupeleka fanya maombi hata kufunga kwa imani siku 3 kisha peleka hiyo sadaka yako, hakini Mungu ni mwenye Rehema hawezi kukuacha, hata ukienda kanisani kuwa na imani yako, pole sanaNaweza kukubaliana na ww kwa upande mwengine coz niliweka nadhiri miaka 7iliyopita kabla ya ajira kuwa mungu akinipatia kazi hata ya 450000nitamtolea sadaka ya ngombe kanisani lakini ckuwahi kufanya hivyo na kuna muda nahisi nadhiri inanitesa maana niliomba sana mm ni mkatoriki mama alifunga na kusali mm nipate ajira na kweli nilipata ajira nzuri lakini imani ya kanisa ilipotea kutokana na mazingira ya kazi nikakutana na walevi ,wazinzi yaani marafiki wa aina zote wabaya na kuna mmoja ni mshirikina na moja ya wanawake zake aligombana naye yule mwanamke akaja kuniambia rafiki yako alishawahi kufanyia ushirikina kwa kutumia majina yako matatu cjui ni kweli maana jamaa tulinunua shamba kwa kuchanga pesa tulipokuja kukosana mm nilitaka kumrudishia pesa yake tuliochanga kununua shamba coz shamba tuliuziwa na ndugu yangu mm kwa kulipa kidogo kidogo na mm ndiye niliyekuwa big shareholder labda hii hali ni yy au ni nadhiri niliyo iweka miaka 7nyuma
Wewe aliyekwambia Wasabato ndio wanaweza tu kumsaidia ni nani? Unakuwa kama Kagame bhana.Mtafute Msabato karibu yako mwenye imani thabiti akujuze yakupasayo kufanya.
Ndg kwa maelezo haya ni kuwa tatizo lako ni la kisaikolojia na kiroho.Ndugu yangu nimebadili nyumba za kupanga nikifikiri labda zina madudu yaani Nina ajira lakini bado nakosa furaha na cjui ni marafiki nilionao nikanunua usafiri lakini cku nimepaki nyumbani nikakuta kitu cha ajabu bonet ya mbele imefunguliwa mtu kachomoa oil stick tu kisha kaweka juu ya injini aikupita cku tatu nilipata ajali mbaya lakini nikapona ucku naota mambo ya ajabu naona sura lakini czfahamu nimeshakutana nazo wapi na ndoto moja inaweza kuja kujirudia mwezi mmoja baadae alafu isitoshe maisha ya utotoni niliteseka sana na uchawi sumbawanga ikiwemo kujikuta nimelala nje wakati nilikuwa ndani isije kuwa bado na andamwa maana kuna vifo vilitokea kwenye familia ni vyakutatanisha koo yangu inaendekeza ushirikina sana hata ndugu upande wa baba hawashikamani mpaka utokee msiba hapo patakuwa na majungu na ugomvi yaani kifupi naichukia family tree yangu inanifanya nisi ishi maisha yangu halisi ya upendo na amani
Mmmmm pole , huko nako lakini usiliweke sana kichwani, na huyo dada alisema wamekuchawia usiyape kipaumbele sana mwamini Mungu tuNdiyo nimekulia huko
Tumia tiba ya chumvi kila kitu kitakwisha
Huyu kuoa inahitaji utulivu unaweza kuta hao hao wanaomfuata wakamsaidia kupata mke tena mwenye matatizo zaidi anatakiwa amalize kwanza hili kisha aoeHalfu ushuri mwingine. Kama umefikia umri wa kuoa jaribu kutafuta mwanamke understanding umuoe. Unajua ku/share matatizo na mwenza wako inakuwa nafuu. Lakini uwe mwangalifu usioe kwa papara kwani ukioa asiyekuelewa ujue kuwa utakata tamaa zaidi. Ukioa na kujaliwa kupata watoto nao ni wazuri kwenye kukupa kampani. Kishi na watoto kwenye nyumba ni burudani tosha.
Watu wana matatizo acha ila yanatofautianaMkuu nikikusimulia yangu na hali iliyopo kwangu utaacha kuwaza hivo.
Ila sijui tuwasiliane.
Ni kweli kabisa.Hali yangu mie mkuu mpaka nafika hatua mbaya kabisa lakini najipa moyo nitasimama tu Mungu yupo.Watu wana matatizo acha ila yanatofautiana
Kwa stail hii utawakamata wengi sana!hongera kwa kutambua watanzania[emoji28][emoji38]wengi ni mbumbumbu&wavivu wa kutumia brain zao!Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Siyo laki mbili ni milioni mbili mkuuPole sana.kuna wengine wana matatizo zaidi kuliko wewe.punguza misaada. Jiwekee malengo. Hiyo hiyo laki mbili ipunguzie matumizi .kama unaweza biashara fikiria unachoweza ili ufanye na huku una kazi yako.nina rafiki yangu mshahara wake ni chini ya huo ila yeye ni mpishi Wa keki ilimchukua miaka 8 kuweza kujenga kisehemu kununua vifaa na kuajiri mtu Wa biashara hiyo ya keki.maana alidunduliza miaka yote. Usiwe na haraka ukajihisi umechelewa.
Hakuna kitu kinachoitwa jehanamuYani Matatizo ya ndugu yanakukimbiza duniani, Sekeseke la jehanamu utaliweza kweli ..Samahani ila huo ni ufala.. Jiue tu ndugu.. Mkaijaze jehanamu mapema tuliobaki tuende peponi..
Ndiyo maana wahenga wanasema ukiwa na tatizo usijifungie ndani. Utadhani wewe ndiyo mwenye shida pekee lakini ukitoka na kuzungumza na watu wenye shida utajiona kumbe wewe ni kama uko peponi.Ni kweli kabisa.Hali yangu mie mkuu mpaka nafika hatua mbaya kabisa lakini najipa moyo nitasimama tu Mungu yupo.