Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

Ndugu yangu nimebadili nyumba za kupanga nikifikiri labda zina madudu yaani Nina ajira lakini bado nakosa furaha na cjui ni marafiki nilionao nikanunua usafiri lakini cku nimepaki nyumbani nikakuta kitu cha ajabu bonet ya mbele imefunguliwa mtu kachomoa oil stick tu kisha kaweka juu ya injini aikupita cku tatu nilipata ajali mbaya lakini nikapona ucku naota mambo ya ajabu naona sura lakini czfahamu nimeshakutana nazo wapi na ndoto moja inaweza kuja kujirudia mwezi mmoja baadae alafu isitoshe maisha ya utotoni niliteseka sana na uchawi sumbawanga ikiwemo kujikuta nimelala nje wakati nilikuwa ndani isije kuwa bado na andamwa maana kuna vifo vilitokea kwenye familia ni vyakutatanisha koo yangu inaendekeza ushirikina sana hata ndugu upande wa baba hawashikamani mpaka utokee msiba hapo patakuwa na majungu na ugomvi yaani kifupi naichukia family tree yangu inanifanya nisi ishi maisha yangu halisi ya upendo na amani
Ulikosea Sana, kwa kuwa ulijua maisha ya kwenu ilikupasa mshahara wa kwanza wote utoe SADAKA. nakuhakikishia hakuna yoyote angethubutu kuchezea uchumi wako

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni umeyatazama maisha yako kwenye mizania ya vitu viwili tu yaani milioni 2 unayopokea na ajira, umekosa exposure ya vitu vingi katika maisha, nje ya hivyo vitu viwili kwako hakuna maisha, watu wa aina yako huwa ni 'wasongo' sana kwenye Elimu pia.
Nachoweza kukushauri jaribu kufikiria nje ya box la milioni mbili na ajira, usiwekeze nguvu zako mawazo yako yote huko, anza sasa kuwa na muda mzuri wa ku socialize na watu kwenye jamii, anza kuona vitu vidogo vidogo kama pumzi kua ni bahati kuwa nayo, anza kuona kua kila unapoamka asubuhi sio juhudi zako binafsi ndio zilizo kuamsha, anza kuona unakila aina ya bahati kuwa mzima wa afya muda kama huu ambapo wengine ni wagonjwa mahututi n.k Hakika utayafurahia maisha na kuona millioni mbili si kitu zipo, zinakuja na kuondoka. Utayafurahia maisha kwa kiwango kikubwa sana.

NB: Inawezekana huu ndio ukweli usiotaka kuusikia, ila tafaadhali upokee, utafakari na uufanyie kazi.
 
Anza kutumia pombe ni sawa nzur

Hivi utasaidia vipi ndugu wakat wewe tu hujitosherezi..

Piga pombe ni dawa mkuu utakuja na mrejesho

Yaan ikiwa ni kaz ,ukipata pesa tenga kwa mambo yako ya msingi then ponda monde
 
Chukua likizo njoo kula bata Stockholm huku. Unawaza ushirikina mtupu hakuna kingine
 
Naweza kukubaliana na ww kwa upande mwengine coz niliweka nadhiri miaka 7iliyopita kabla ya ajira kuwa mungu akinipatia kazi hata ya 450000nitamtolea sadaka ya ngombe kanisani lakini ckuwahi kufanya hivyo na kuna muda nahisi nadhiri inanitesa maana niliomba sana mm ni mkatoriki mama alifunga na kusali mm nipate ajira na kweli nilipata ajira nzuri lakini imani ya kanisa ilipotea kutokana na mazingira ya kazi nikakutana na walevi ,wazinzi yaani marafiki wa aina zote wabaya na kuna mmoja ni mshirikina na moja ya wanawake zake aligombana naye yule mwanamke akaja kuniambia rafiki yako alishawahi kufanyia ushirikina kwa kutumia majina yako matatu cjui ni kweli maana jamaa tulinunua shamba kwa kuchanga pesa tulipokuja kukosana mm nilitaka kumrudishia pesa yake tuliochanga kununua shamba coz shamba tuliuziwa na ndugu yangu mm kwa kulipa kidogo kidogo na mm ndiye niliyekuwa big shareholder labda hii hali ni yy au ni nadhiri niliyo iweka miaka 7nyuma
 
Jambo la msingi mpokee Yesu Kristo awe Bwana na mokozi wako. Ukishafanya hivyo, Yesu aliyo ndani yako ndio atakushindia na kukupigania vita vyote. Vita vinafanyika vyake na sio vyako. Usiweke imani yako kwa watu unapokwenda kwenye maombezi. Weka tumaini lako kwa Yesu alio ndani yao.

Tafuta kanisa la walio okoka. Hakikisha unawaeleza matatizo yako kwanza. Then ndio wakufanyie maombi
Ndio sasa nipo Egt wapo karibu na mm na huwa wanakuja kuniombea na kunirudisha kwenye imani coz hata maadili yangu yalianza kuporomoka c mm yule kabla cjashika hela nimekuwa mtu nicye jipenda kama mwanzo nachokipata naona kinatosha kwa maisha lakini si kioni ninachofanya cha maana maisha yangu lakini nayachukia ,ndoto za kutisha ,usiku naota sura za watu ambao cjawahi kuziona lakini nikiamka taswira zao niliowaota zipo kichwani ila cwajui inapita cku naota tena sura hizohizo huku maisha hayo yakijirudia mpaka nakosa furaha ,Mara naota nakabwa usiku naongea peke yangu au kupiga kelele nakushtuka mpaka baadhi jirani washawahi kuniuliza na hata wadada niliokuwa nao kimahusiano wana niambia huwa naongea vitu visivyo eleweka usiku kama nagombana na mtu lkn mm cjibu kitu coz ni kweli huwa najibizana na hizo sura nisizo zifahamu kwa kusema mshindwe kwa jina la yesu ila huwa sauti nahisi haitoki
 
Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Ni kweli ndugu?

Kuna ndugu yangu ana matatizo sijui niite nuksi kama yy mwenyewe anavoelezea! Inaweza kumsaidia hii?
 
Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
JamiiForums super Guru of all time Mshana Jr umetisha
 
Ndio sasa nipo Egt wapo karibu na mm na huwa wanakuja kuniombea na kunirudisha kwenye imani coz hata maadili yangu yalianza kuporomoka c mm yule kabla cjashika hela nimekuwa mtu nicye jipenda kama mwanzo nachokipata naona kinatosha kwa maisha lakini si kioni ninachofanya cha maana maisha yangu lakini nayachukia ,ndoto za kutisha ,usiku naota sura za watu ambao cjawahi kuziona lakini nikiamka taswira zao niliowaota zipo kichwani ila cwajui inapita cku naota tena sura hizohizo huku maisha hayo yakijirudia mpaka nakosa furaha ,Mara naota nakabwa usiku naongea peke yangu au kupiga kelele nakushtuka mpaka baadhi jirani washawahi kuniuliza na hata wadada niliokuwa nao kimahusiano wana niambia huwa naongea vitu visivyo eleweka usiku kama nagombana na mtu lkn mm cjibu kitu coz ni kweli huwa najibizana na hizo sura nisizo zifahamu kwa kusema mshindwe kwa jina la yesu ila huwa sauti nahisi haitoki
Mkuu pole. Nakuhakikishia tatizo lako litaisha mpaka utakuja kushangaa. Hizi ni challenge za maisha. Una marafiki? Social life yako ikoje? Nauliza hivi kwa sababu ku-share mawazo na kuzungumza na watu tofauti ni dawa moja nzuri sana. Ukifanya hili utakuja kugundua kuwa kuna watu wana matatizo kuliko wewe mara elfu moja. Lakini sidhani kama una tatizo la kulogwa hata kidogo. Wewe una tatizo la kisaikolojia. Jaribu kwenda hospital kubwa na achana na waganga wa kienyeji. Watamaliza fedha zako tu. Na kama ni ibada jiamini wewe mwenyewe kuwa unaweza kuomba na kusikilizwa.
 
Nashukuru ndugu Nina historia ndefu sana na hata haya majaribu yakujiua nikama la 17toka utotoni Nina story ndefu sana ambayo IPO siku Nita jaribu share. Nanyi kuanzia magumu ,kufunga nakuomba kanisani mpaka kufikia kuweka nadhiri kwa mungu maana maisha yalikuwa dhiki na mateso mapaka kufikia kuweza kujitegemea lakini ckuwahi kuwa na furaha hata nilipofikia kujitegemea na nilipo ingia kwenye mahusiano ndo nilizidi kuyachukia maisha ,dunia ,na wakazi wake mwanzo nilifikir pesa ina leta furaha lakini nimekuja gundua furaha yangu c pesa. Bali upendo nilio hukosa kwenye familia toka mdogo lkn sasa Nina kitu wanaiona bora na kunisumbua mpaka naona dunia ckuja kufurahi Bali Ku umizwa mm na mm kurudisha furaha kwa walioniumiza nilitendwa sana mapaka nimekuwa mtu wa hasira na bado paranormal activities zinanisumbua toka utotoni mpaka sasa cwez kulala bila kuwaona hao watu
 
Nashukuru Mungu kunifikisha hapa nilipo bila yeye nisingeweza mkuu omba Mungu vikwazo vipo ili tuvishinde usikate tamaa
 
Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.
Unamhitaji Yesu kwanza badala kutanguliza muujiza!
 
Ok nimeelewa sasa. Ukiiweka nadhili usipoitimiza au kuiondoa ni dhambi na hata ukifa unahukumiwa. Na kuiondoa kwake ni lazima uombe toba kwa Mungu.

Usiogipe maana Mungu ana makusudi na wewe huna haja ya kujiua. Binadamu huwa tunajitapa kwa kudanganywa na science ya dunia hii tukisahau chimbuko la mambo yote ni ulimwengu wa kiroho ama wa Mungu au wa shetani. Usiogope kwa maana Mungu bado anakupenda hata ulipotaka kujiua ulianza na rohoni ndio hata nje tukajua dhamira ya rohoni.

Kwa nikuonavyo sasa ni mtu uliyejikataa mwenyewe na kujiona hunathamani maishani, huyo sio wewe kamili. Wewe kamili ni yule uliyehangaika kupata kazi kwa kufunga na kuomba na mama yako. Kifo alikufa bwana Yesu kristo peke yake kwa ajili yetu wote ili kukombolewa. Alibeba magonjwa, dhiki, taabu, laana na kila aina ya takataka zinazomsumbua mwanadamu. Swali kwako wewe umeshawahi mtwika Yesu hicho ulichonacho na asikujibu?.

Iko hivi mkuu sasa hivi dini inayomtangaza kristo nyingi zimevamiwa na ufeki. Biblia ilishatuonya ya kuwa watatokea wengi na kuponya lakini wengine sio wake. Believe me unaweza enda huko kwa wa upako pepo lile lile linalokusumbua ukakuta linanena kwa mtumishi na kukutabiria yaliyo yako ukidhani unapata msaada kumbe linaongeza.

Suluhisho lako mkuu. Tumia "damu ya yesu kristo wa nazareti" nyunyiza kwenye gari yako, ndoto uotazo,unapoishi, shamba, mke, watoto, kila kitu chako. Kila unapotaka kuonana na mtu sema kwa moyo moyo nakufunika na damu ya yesu then endelea kuongea nae. Kuna wakati utajulishwa vitu kabla ya kutokea kupitia ndoto.

NB: Usisahau kuvunja laaana za uko kwa kunyuniza damu ya Yesu maana Mungu anapatiliza uovu kizazi hata kizazi hatacha tatu jitenge mbali na uovu wao. Usisahau kama uliingia maagano yeyote vunja kwa damu ya Yesu. Huyo rafiki yako mfunike kwa damu ya yesu na ukemee roho ya mauti kwenu na kwako. Usiogipe hakuna kitu kitakudhulu Usiogope, usiogope na usisahau kuomba toba ya kwa nini ulitaka jiua. Asante na Mungu akubari na utukufu wa kristo uwe kwako na akusaidie sana.
 
Ndugu zangu,

Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.

Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.

Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.

Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.

Sijui nifanye nini.
kujiua sio kitu kigumu hata kidogo, cha muhimu ongea kabisa na Mungu akuandalie moto kwasababu watu wote wanaojiua huwa wanaenda motoni moja kwa moja. unauua mwili ambao Mungu hajaamua kuuchukua, and there's no turning back, ukishafika kule ndo imetoka utaungua hadi dunia itakapoisha utasubiri waovu wengine waje wakuunge tela kuungua pamoja na shetani na wauaji wenzio. shwain.
 
Live your life that the fear of death can never enter your heart
Trouble no one about his religion
Respect others in their views and demand that they respect yours
Love your life, perfect your life, beautify all things in your life
Seek to make your life warm, and of service to your people
And your time when comed to die, your not like those who are filled with fear of death
When they weap and pray for a little more time to live their lives over again differently
Sing your death song and die like a hero going home...
 
Back
Top Bottom