Maisha Yana Maana Gani Hasa?

Maisha Yana Maana Gani Hasa?

Hii ndo illusion kubwa sana, ambayo naizungumzia unafikiri babu zako hawakuacha legacy?

Unafikiri walikuja kuzurura?

Hapa ndipo mnapochanganya maana ya maisha na self accomplishments ambazo ni either zinakuwa recognized au laah, wale ambao hawako recognized sio kwamba hawakufanya makubwa, tena it's those who aren't singed ndo huwa wame ishi vyema. Ila yote kwa yote kuishi kwao na michango yao hupotea pale wanapofutika katika uso wa dunia
Contribution to humanity, achana na accomplishments, focus hapo.
 
Kuna mambo hatutakiwi kuyafikiria.
Ebu fikiria kuna mtu kahukumiwa kuuawa, kachomwa sindano ya sumu ili afe, baadae wanamtibu apone!
Eti imeshindikana kufa. Sasa kwanini wanamtibu si wamwache afe??
Ishu ya yule dada yaani amechomwa sindano yenye sumu mara mbili lakini hola mwisho wa siku anatibiwa tenaa so najiuliza ataachiwa huru au hukumu ipo pale pale?
 
Contribution to the humanity, achana na accomplishments, focus hapo.
Contribution???

Okay, but is that the meaning of life or some kind of comfort kuwa sisi ndo viumbe wa pekee ila kufa ni pale pale tu?

Maana hata wanyama nao wanazaliwa na kufa kama sisi!

Huoni kuwa tunajifurahisha tu, kumbe unacho hitaji ni kipo kwenye nature tu.

Maarifa na magari ni sawa na kuji entertain tukisubiri kufa?
 
Contribution???

Okay, but is that the meaning of life or some kind of comfort kuwa sisi ndo viumbe wa pekee ila kufa ni pale pale tu?

Maana hata wanyama nao wanazaliwa na kufa kama sisi!

Huoni kuwa tunajifurahisha tu, kumbe unacho hitaji ni kipo kwenye nature tu.

Maarifa na magari ni sawa na kuji entertain tukisubiri kufa?
Mkuu, find your purpose acha kulia lia
 
Tafuta Ela,,ukiipata itumie,,Ishi kitourist...🫵🫵🫵 Duniani wanaojiona hawana thamani huwa ni Masikini tu,, huwezi kuta billionea analalamika bila sababu za msingi na huwezi kuta billionea anaanguka Mapepo Mwisho kabisa Mindset ya billionea haiwezi na haziendeshwi na mihemko au Mapenzi, Yeye anawaza interest tu🙌🙌🙌Pull up
 
Unazaliwa then una kufa tu
Kufa ndio kunatoa maana ya maisha hapa Duniani. Huenda kama kusingekuwa na kifo Binadamu tungekuwa more confused zaidi ya sasa. Just imagine life bila kifo... ndio maana watu wengine wanaenda mbali na kudai hao Miungy na malaika wanatamani wawe kama binadamu ila ndo hivyo tu hawawezi.
 
Tafuta Ela,,ukiipata itumie,,Ishi kitourist...🫵🫵🫵 Duniani wanaojiona hawana thamani huwa ni Masikini tu,, huwezi kuta billionea analalamika bila sababu za msingi na huwezi kuta billionea anaanguka Mapepo Mwisho kabisa Mindset ya billionea haiwezi na haziendeshwi na mihemko au Mapenzi, Yeye anawaza interest tu🙌🙌🙌Pull up
Mbona mnapenda kudhani kuwa matajiri ndo maana ya maisha

Ni nani aliye wadanganya??
 
Tumetengeneza mfumo mbovu ambaoo waathirika ni sisi wenyewe, leo tunazitafuta pesa ambazo tunaprint kama karatasi tu ......Wengine maskini na wengine matajiri, mambo mengi hana uhalisia ukitumia akili .


Kuna vitu tunajiwekea na wala hakuna anayewaza nje ya box , vitu kama kusoma , kuoa , kununua nyumba na gari yaani kama masharti zile na wala havina uhalisia.
 
Binafsi sioni kabisa

Naona tunatokea na kupotea tu

Hivi vitu tunavyovitesekea havina thamani yoyote maana ni tunaviacha tu

Sioni maana ya uwepo kabisa.

Unazaliwa then una kufa tu

Sasa si bora tu usinge kuwepo?

What the hell are we doing here?

Hebu na nyie Semeni bwana humu duniani kuna nini cha maana?

Kutafuta wealth? Ili zije zinifanye kuwa mtumwa? Ku please mwanamke mwenye mwili na akili kama mimi?

Huu ni udwanzi jamani, yaani najuilizaga hii dhana ya kufanikiwa ina maana ipi kama mwisho ni mauti?

Hebu elezeeni na nyie maana sioni maana yoyote ya haya maisha. Bado Sija ona kwakweli. Una amka asubuhi kwenda kazini unarudi umechoka then unakula una lala kesho tena unarudia yale yale, je wewe ni mashine?

Huu ujinga sitaki tena, huu,


Mapenzi nayo yamekuwa magumu, tu hakuna wa kukuthamini na kukupenda,

Aisee, watu wana jaribu kutafuta namna ya kukutumia tu. Ujinga na kuzushiana maneno ndo habari za mjini.

Binafsi nataka niachane na kucheza huu mchezo wa kijinga. Maana it's too much now.
Sijui kuhusu Umri wako, sijui kuhusu Dini Yako ila kama hiki ulichoandika linatoka ndani ya Moyo wako mwenyewe...! Soon you will have encounters with God....!

Kabla Mungu kukutana na Watu wake Huwa anaanza kupandikiza mawazo aina hii ndani ya mind zao.
Ki ukweli kama tunazaliwa tunajua, tunaoa then tunakufa hafu basi, ujue haya Maisha hayana maana ya yoyote, lakini kama baada ya kufa Kuna Maisha mengine, hapo ndipo unapata maana nzima ya Maisha.

Rasta Huwa wanaamini Binadamu hafi, Wakristo wanaamini japo Binadamu Kuna siku atakufa lakini baada ya kufa Kuna Maisha mengine, na wengine Binadamu hafi ila anabadirisha makazi, baada ya miaka yakuishi hapa Duniani ikiisha, yule mtu wa ndani ambaye hasa ndiye wewe, anataka kwenye Mwili wako (Kitendo kinachoitwa kufa japo mtu wa ndani Huwa hafi) na kwenda kuendelea kuishi kwenye Ulimwengu mwingine, na Matendo yake akiwa hapa Duniani ndiyo yataamua kwenda Kuzimu kusubiria Hukumu ama kwenda Paradiso kusubilia siku ya Mwisho.
 
Nionavyo mimi maisha ni zawadi ambayo Mungu alitupa yaani tuishi tule na tumuabudu haijalishi kwa njia ipi, na ndio maana alitupa wanyama mimea na matunda. Ila sisi binadamu ndio tukaleta complications kibao badala yake tumekuwa na chuki za kila namna na kila mahali sababu tunayoyafanya hayakuwa makusudi ya Mungu maana yake miongoni mwetu kuna watu sasa inabidi waabudiwe na watukuzwe ili wewe upate kuishi maana wao ndio wameshika mpini, riziki yako na hatma yako.

Hii kitu Mungu hapendi ndio maana wote hamuwez kuwa na amani mnabaki kuchukiana tu na kuombeana mabaya. Fuatilia maisha ya jamii ambayo hazikufikiwa na ukoloni au usasa kama wa Adzabe ndio utaelewa mfumo wa mausha ya binafamu upoje. Rizki ya binadamu Mungu alishaiweka wazi ndio maana kila mwaka mvua inanyesha m, wanyama wanazaliwa na matunda yanazaa, asili inapatikana. Haikuhitaji wew kuwa na jembe ili upate rizki.
 
Fikra za mkosaji mtu aliekata tamaa, kwa ushauri wangu, jikite zaidi kwa utafutaji issue za kufa mwachie israel mtoa roho anafanye kazi yake.
 
😁😁😁 Hujaelewa,, hayo mimi Sijasema🫵🫵🫵sijamaanisha hivo... rudia tena kusoma hiyo labda utapata pointi ya msingi🙏🙏🙏
Sasa unadhani hela ndo msingi wa kuishi maisha mazuri? Je kama wanyama wa porini wangekuwa na hii mindset ningelikuwa je?
 
Back
Top Bottom