Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,322
- 2,911
Kuna watu wana hzo resources zote unazozijua ila cha ajabu chakula chake anachotakiwa kula kina maelekezo ya daktari na hata kule kitandani hana uwezo wa kumshughlikia mke wake ipasavyo japo anamtamani na ana kila kitu...amezongwa na stress muda wote na wengi katika hawa ni watu wa kujificha mida mwingi,hata akiwa street gari yake lazima iwe full tinted,hana amani hana furaha,uani kwake kapaki gari za kifahari za kutosha na ana investments za maana....shida zake wewe huwez kuzibeba hta kwa dk 10...Maisha ni matamu iwapo una resources. Changamoto ni resources, haya mambo ya uchumi, nchi, pesa sijui ulinzi ni uhaba wa resources otherwise maisha ni matamu mno.
Mungu hawezi kusema uongo upuuzi wa hii Dunia..
kikubwa tumuabudu yeye tu yapo maisha ya ukweli na uhakika yenye utamu usiokatishwa,amewaandalia maisha hayo watendao mema kwa ajili yake.