maana gani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa kichaga ni walevi sana?

    Unakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe.. Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchoraji wa Katuni hii ana maana gani?

  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ina maana gani katiba kusema sisi ni nchi ya kijamaa?

    Ujamaa uko wapi Tanzania ? Kuna sera gani ya maana ya kijamaa Tanzania ya kunufaisha raia wote?? CCM acheni utapeli kusema sisi ni nchi ya kijamaa na mmeandika hivyo kabisa katika katiba yenu wakati hata huduma ya afya sio bure kama ilivyo kwenye nchi nyingi za kibepari kama Canada, Scandinavia...
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Maisha Yana Maana Gani Hasa?

    Binafsi sioni kabisa Naona tunatokea na kupotea tu Hivi vitu tunavyovitesekea havina thamani yoyote maana ni tunaviacha tu Sioni maana ya uwepo kabisa. Unazaliwa then una kufa tu Sasa si bora tu usinge kuwepo? What the hell are we doing here? Hebu na nyie Semeni bwana humu duniani...
  5. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Hii huwa ina maana gani?

    Alikua akilia tu "jamani daddy" machozi yake anajifutia na noti nyekundu za kutosha, machozi yote yanafutika na yeye anapotea mpaka zikiisha anarudi tena kuzifuata na kujilizaliza. Kuna swali hua najiuliza; Mwanamke kuchukua video za nguo za ndani (chupi zake) zote anazozivaa na kumtumia...
Back
Top Bottom