secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,413
- 49,561
Hata ukiteseka ipo siku tabu hizo zinataisha (siku ukifa).Ukihangaika tabu
Usipohangaika tabu
Mwisho wa siku yote tunayaacha
Hata ukiteseka ipo siku tabu hizo zinataisha (siku ukifa).Ukihangaika tabu
Usipohangaika tabu
Mwisho wa siku yote tunayaacha
Sasa ya nini uishi kama ukifa na shida zote zinakwisha?Hata ukiteseka ipo siku tabu hizo zinataisha (siku ukifa).
Issue ni kuwa tunaishi kama wanyama wakati umepewa utashi na akili za kichakata kila wazo.Wewe una akili timamu.Kuna wakati nilikuwa na hizi fikra kisha likaja wazo kuwa tuseme nimepata kila kitu nnachotaka,kisha nini?
Maisha hayana maana yoyote.angalau kwa wanaoamini kuwa kuna maisha baada ya haya wanaweza kueleweka kwa huu upande.vinginevyo,maisha ni upuuzi tu.
Pia unaweza kuamua kukatisha uhai. Mimi nikiona mtu anataka kujiua wala simzuii kwa sababu kifo ni mapumziko pia.Sasa ya nini uishi kama ukifa na shida zote zinakwisha?
Wewe acha zako, in the grand scheme ukizaliwa ishi ila jua maisha ni hayana maana. Na hata kama hayana maana kujiuwa ni kujikomoa tu.Pia unaweza kuamua kukatisha uhai. Mimi nikiona mtu anataka kujiua wala simzuii kwa sababu kifo ni mapumziko pia.
Hakika100%
Aisee ni kasheshe na Inasikitisha sana.Hatuzaliwi na kufa tu bali tunazaliwa kisha tunatesekateseka alafu tunakufa 😄😄
R I P yule dada wa Haiti 🤤
Sometimes kukatisha uhai kunasaidia sana. Ukiwa kwenye mazingira fulani ni bora ufe tu kuliko kuendelea kuteseka, ndiyo maana kwenye baadhi ya nchi kama Hispania na Ubelgiji watu kwa ridhaa zao huomba kuchomwa sindano ya kifo (Assisted Dying) na inaruhusiwa kisheria.Wewe acha zako, in the grand scheme ukizaliwa ishi ila jua maisha ni hayana maana. Na hata kama hayana maana kujiuwa ni kujikomoa tu.
Ishi tu ila Usipende kuyafanya maisha muhimu, yaani usiishi kwa matarajio makubwa na huku maisha yenyewe sio infinite
Those people wanakuwa tayari wameshafikia mwisho so wanaona it's better wafe tuSometimes kukatisha uhai kunasaidia sana. Ukiwa kwenye mazingira fulani ni bora ufe tu kuliko kuendelea kuteseka, ndiyo maana kwenye baadhi ya nchi kama Hispania na Ubelgiji watu kwa ridhaa zao huomba kuchomwa sindano ya kifo (Assisted Dying) na inaruhusiwa kisheria.
Kwa mda utakaoishi jitahidi tu uishi vizuri kwa namna yoyote ile. Hakuna maisha baada ya kifo.Binafsi sioni kabisa
Naona tunatokea na kupotea tu
Hivi vitu tunavyovitesekea havina thamani yoyote maana ni tunaviacha tu
Sioni maana ya uwepo kabisa.
Unazaliwa then una kufa tu
Sasa si bora tu usinge kuwepo?
What the hell are we doing here?
Hebu na nyie Semeni bwana humu duniani kuna nini cha maana?
Kutafuta wealth? Ili zije zinifanye kuwa mtumwa? Ku please mwanamke mwenye mwili na akili kama mimi?
Huu ni udwanzi jamani, yaani najuilizaga hii dhana ya kufanikiwa ina maana ipi kama mwisho ni mauti?
Hebu elezeeni na nyie maana sioni maana yoyote ya haya maisha. Bado Sija ona kwakweli. Una amka asubuhi kwenda kazini unarudi umechoka then unakula una lala kesho tena unarudia yale yale, je wewe ni mashine?
Huu ujinga sitaki tena, huu,
Mapenzi nayo yamekuwa magumu, tu hakuna wa kukuthamini na kukupenda,
Aisee, watu wana jaribu kutafuta namna ya kukutumia tu. Ujinga na kuzushiana maneno ndo habari za mjini.
Binafsi nataka niachane na kucheza huu mchezo wa kijinga. Maana it's too much now.
Hakika,Kwa mda utakaoishi jitahidi tu uishi vizuri kwa namna yoyote ile. Hakuna maisha baada ya kifo.
Hapana nataka nijue ni kwa nini tunaishi?It's mean unataka kujiua au vipi kaka
Hii Sheria ya Assisted Dying mimi naona bora iwepo pia Tanzania. Watu wanateseka kwa miaka na miaka na kuna uhakika kuwa hawatapona ila ndiyo hivyo.Those people wanakuwa tayari wameshafikia mwisho so wanaona it's better wafe tu
Sawa tuendelee kutesekaHata ukiteseka ipo siku tabu hizo zinataisha (siku ukifa).
Kuna mambo hatutakiwi kuyafikiria.Binafsi sioni kabisa