Maisha Yana Maana Gani Hasa?

Maisha Yana Maana Gani Hasa?

King of REACTIONS

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2026
Posts
396
Reaction score
513
Binafsi sioni kabisa

Naona tunatokea na kupotea tu

Hivi vitu tunavyovitesekea havina thamani yoyote maana ni tunaviacha tu

Sioni maana ya uwepo kabisa.

Unazaliwa then una kufa tu

Sasa si bora tu usinge kuwepo?

What the hell are we doing here?

Hebu na nyie Semeni bwana humu duniani kuna nini cha maana?

Kutafuta wealth? Ili zije zinifanye kuwa mtumwa? Ku please mwanamke mwenye mwili na akili kama mimi?

Huu ni udwanzi jamani, yaani najuilizaga hii dhana ya kufanikiwa ina maana ipi kama mwisho ni mauti?

Hebu elezeeni na nyie maana sioni maana yoyote ya haya maisha. Bado Sija ona kwakweli. Una amka asubuhi kwenda kazini unarudi umechoka then unakula una lala kesho tena unarudia yale yale, je wewe ni mashine?

Huu ujinga sitaki tena, huu,

Mapenzi nayo yamekuwa magumu, tu hakuna wa kukuthamini na kukupenda,

Aisee, watu wana jaribu kutafuta namna ya kukutumia tu. Ujinga na kuzushiana maneno ndo habari za mjini.

Binafsi nataka niachane na kucheza huu mchezo wa kijinga. Maana it's too much now.
 
Binadamu ni mfugo kama vile ilivo kuku, mbuzi au ng'ombe. utofauti ni kwamba sisi binadamu hatumuoni anaetufuga. ndo mana tunazaliwa bila kujua na bila kupewa nafasi ya kuchagua kama tunataka kuzaliwa au lah!! yaan unajikuta tu upo duniani. pia tunakufa bila kujua yaan hujui lini mwisho wako hapa duniani ila anaekufuga ndo anaamua ni siku gani akunyofoe duniani. ni kama vile we unavofuga mbuzi, wewe mfugaji ndo unaamua mbuzi huyu nimchinje lini kadri ya mahtaji yako. hzo dini ni illusion tu ambazo wajanja wachache walizianzisha ili kuweza kujinufaisha.
 
Hoja unayo, almuradi Usiwe “suicidal”

Maana conclusion yake kubwa ni kijiuwa, hilo usifanye. Lakini hoja yako ni fikirishi sana.

Majibu yake utapewa lazima yatakuwa “spiritual”,

Na hiyo sintofahamu ya kuhusu dhumuni la maisha, ndo maana kumetokea ama kupelekea uwepo wa dini na imani mbali mbali kwamba kuna maisha baada ya haya hapa duniani.
 
Binadamu ni mfugo kama vile ilivo kuku, mbuzi au ng'ombe. utofauti ni kwamba sisi binadamu hatumuoni anaetufuga. ndo mana tunazaliwa bila kujua na bila kupewa nafasi ya kuchagua kama tunataka kuzaliwa au lah!! yaan unajikuta tu upo duniani. pia tunakufa bila kujua yaan hujui lini mwisho wako hapa duniani ila anaekufuga ndo anaamua ni siku gani akunyofoe duniani. ni kama vile we unavofuga mbuzi, wewe mfugaji ndo unaamua mbuzi huyu nimchinje lini kadri ya mahtaji yako. hzo dini ni illusion tu ambazo wajanja wachache walizianzisha ili kuweza kujinufaisha.
Hahaha! Huyo mfugaji atakuwa nani mkuu?
 
Kama nakuelewa hivi
. Kwa hiyo ile illusion ya kudhani tunaweza kupata long lasting life, na furaha ni kama kujitekenya tu sio?
 
Back
Top Bottom