Maisha ya ubachela

Maisha ya ubachela

Hapana kwani kulikoni kwa walimu?? Au unaongelea walimu hawa waliokaa hom mpaka wamechoka kila siku wanapigwa kalenda za ajira??? Hahaha sio mwalimu
Huyo anahitaji mke mwalimu sasa kama wewe sio mwalimu analala mbele.
 
Hivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee nikutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata gafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
Na bado sooon MB znakuishia njò kwangu
 
Unadhani kuolewa mchezo...watu wanazeeka hawaoni ht wa kumwambia bby basi njoo tuishi wote....ndoa si km kwenda cinema...ukitaka unaingia ukitaka huingii...mpango wa Mungu huo...halafu ukiingia kwa ndoa kwa dhumun la kwenda kujipunguzia shida zako...itakushinda mana utakua mzgo na unachojali wewe n haja zako tu na c upendo...akiishiwa ndoa utaikimbia

Not that much bana!
 
Tatizo sina pesa unanifikiriaje MTU kama Mimi naweza oa..!
 
Back
Top Bottom