Ukienda kuolewa kwa lengo la kukwepa Ugumu wa maisha na mume akagundua lengo lako aisee atakusumbua mpk ukomeSijamuogopesha namtaarfu tu maana wanaume nao wamekua vichomi ..unaeza ona umeolewa ndo utapata unafuu ikawa viseversa
Wewe dada acha hako katabia kako ka kuchuna wanaume wa Dar,sawa??yaani nawaheshimu sana masponsor hapa mjini
hata naogopa kuolewa
vitu vinaishaje hivyo while upo peke yako, au ndoa ndo ya kupunguzia makali ya maisha.. ikiwa huwezi pangilia maisha wakati upo pekee utawezaje ya wawili au zaidi
Si umesema nywele zimekatika asubuhi hii? Mbona unazinguaHivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee nikutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata gafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
Japo kazunguka umeona lengoNaona umeleta tangazo indirect.. Natafuta mke pia njoo pm!!
Na hapo ndo penye mtihani kwa kweliHeheheh ukiolewa utabanwajee kutoka mpaka ruhusa uombe,upoo
Kabisaaa lazma ujute na kukumbuka ubachelor 2Ukienda kuolewa kwa lengo la kukwepa Ugumu wa maisha na mume akagundua lengo lako aisee atakusumbua mpk ukome
Hivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee nikutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata gafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.