Watu wanashindwaga kuelewa juu ya kuoa na kuolewa, ni jambo zuri sana na ni mpango mzuri sana wa MUNGU ili mwanadamu asiwe masikini Bali awe tajiri maana katika Mwanzo 1:26-29 imeandikwa , akawabarikia, ina maana wakiwa wawili na si mmoja.
Pia kwenye mhubiri 4:9-12, imeandikwa , Afadhali kuwa wawili kuliko kuwa mmoja,
Maana watapata ijara njema kwa kazi yao.
Kwa maana wakianguka , mmoja wao atamwinua mwenzake, lakini ole wake aliye pekee yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua !
Tena wawili wakilala pamoja, hapo watapata moto, lakini mmoja aliye mpekeyake tu awezaje kuona moto?(kupata joto?)
Hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliye peke yake , wawili watampinga, wala kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi
Wewe ni mwalimu?Hivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee nikutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata gafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
Umeongea ukweli, ndo maana huwa naamin kuwa hawa kutoka makwao na kuolewa kwa%95 huwa sihiali yao bali ni mahitaji, jarbu kupiga picha uangalie ke walio na elimu nzuri halfu wanakaz nzuri wanavosota kupata wachumba, hii ni kwa sababu ya jeur ya hela, ke mwingne anakubali kuolewa ili awe msaada kwa wadogo zake na nyumbani kwao, ni me tu wanaosukumwa na tamaa ya ngono lakin ke ni mahitaji ya maisha.
Ndoa si suluhisho La jibu la kuishiwa mama, cha Muhimu ni kukipanga kipato chako vizuri, hao wanaume wa kuombwa ela kila unapoishia unatoa wapi? Hata kama ni mumeo wa ndoa lakini si kwa hivyo! Wanaume wengi wa kwenye ndoa hutoa matumizi kwa mwez mzimaa sasa kama umeshindwa Ku manage kipato chako sasa hata utapopewa na mumeo hakitatosha maana nyakati hizo utakua na watoto + ndugu wa upande wa pili +wa upande wako! Mzigo juu ya mzigo, La Muhimu ukifika kila mwisho wa mwezi panga bajeti yako weka pesa za akiba pia incase of any emergency
Siyo sawa na nyie mabinti mmekuwa vituko. Nani atamuoa mtu kama Wema au Gigy Money au Gemmy . Ukitaka kuolewa jitunze auWaoaji sikuhizi wa kutafuta tena kwa bunduki nasio manati
Kuna mazuri mengi mfano kujichagulia mwanaume wa kustarehenae, kujipangia na kujiamulia mambo yako bila kubughudhiwa. Kuolewa nako kuna amri nyingi kuliko hiyari, jitahidi tu humohumo maana inaonekana ukipatwa na shida ndipo humfikiria mwanaume kama usaidizi sio baba wa familia.
Wanawake wa sikuhizi unawajua wewe?? Hao unasemea walishakufaga sio wa sasa kama wapo 10 kazi ya Mia
tumeliona mkuu na kama yeye ndo huyo hapo kwenye avatar yake basi hakika niko tayari kutoa ng'ombe ata 30WAKUU,
MMELIONA TANGAZO HUKU??
Bora usiolewe..huogopi yaliyomkuta mke wa patie???he,heh...utan wayegoNdo jibu hilooooo!
angalia kama huyu je ni wife material Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?Inshallah!
Tatizo lako ni kurukaruka kama kunguru mamii,jitulize kama kasuku,usitake maneno na wala usiwe kichwa maji,mkubali mmoja akuhudumie,lakini unarukia mafisi maji,baba sukari,vibosile uchwara,bodaboda,wauza kuku,wauza urembo,mangi wa dukani,Francis wa grocery,na konda wa dala dala hao wote wanakujaza mkosi na kukuzeesha mamii.Hivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee nikutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata gafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
Kwa hiyo msingi kiuno au vipi?yaani nawaheshimu sana masponsor hapa mjini
hata naogopa kuolewa