KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Ndio ujue nipo kwa ajili yako.Khakhakhaaaaaa mbali na pesa huduma kama hizo ndo zingemuhusu moja kwa moja sasa! Sio kuumia leo kupata wa kukukanda mpaka wiki 3 misuli si itakaza kabisa lol!
Ndio ujue nipo kwa ajili yako.Khakhakhaaaaaa mbali na pesa huduma kama hizo ndo zingemuhusu moja kwa moja sasa! Sio kuumia leo kupata wa kukukanda mpaka wiki 3 misuli si itakaza kabisa lol!

Bila shaka,na utasuuzika na roho yako,muulize Valentia.Wewe utakua director sio!!??
Hapana sina tabia hiyo jamani maneno tu hayo. Katika uhalisia ni tofauti kabisaa
Hahaaaaaa ukiweza kucheza na akili ya mume ndoa inakuwaga tamu sana. Coz asilimia kubwa ya wanaume wanapenda sana kutiiwa, na mwanamke akishakuwa mnyenyekevu anaweza kuchomolewa chochote anachotaka ikiwa ni pamoja na kupata amani moyoni hii ndio siri. Lakini ukionesha makucha na kujiona sasa Wewe pia ni kamwanaume kengine hapo kila kitu huvurugika na mwisho utaachia madaraka mwenyewe
Mamii ile kitu huwa haina makombo yaani labda uwe mchoyo tu.uomba omba sio mzuri rafiki utapewa na makombo rafiki angu ohooooooo!
Kisela tu mambo ya shake well before useKwahiyo kuolewa mpaka niliwe sio??

Waswahili wanasema "Lisemwalo lipo, na kama halipo basi ujue linakuja". Lakini pia waswahili wanasema, "Ukweli wa mtu upo moyoni mwa mtu." Wewe ndiye unayefahamu kama hii ndio tabia yako au la. Hivyo kama ni tabia yako, nakushauri tu achana nayo kwa kuwa haitakusaidia katika maisha yako.
Sawa mamii,acha nikugharamie ili usije ukakasirika.Haya Tuma ya kujaza gesi sasa lasivo utakula kiporo cha mchana!
Hapana yaani nakubembeleza kama mtoto mchanga.Anaijua kasheshe yako sio!!!????!! Vya kukomeshana mi Hapana atii just handle with care
Its a something which is killing very smooth..................Sometimes mhmhmhmhmmmmhhhhmhhm!!!!!!
yaani nawaheshimu sana masponsor hapa mjini
hata naogopa kuolewa
CHRYSTAL CLEAR MAMII.Mana si wajua mwanamke matunzo so nitunze nikutunze