Maisha ya ubachela

Maisha ya ubachela

Sasa kuomba ruhusa si ndio raha jumla? Ukipewa ruhusa unapewa na hela ya wese na ya kula lunch huko uendako.

Hivi vitabu havijawaambia nnatakiwa kutii mamlaka??

Hahaha safi sanaa hii
 
We unaonekana mjanja..Nashangaa hata unavyolalamika hapa..

Hii ni social media tu binafsi am here to laugh you know! Though sometimes vitu vinatugusa deep down tunasoma na kujifunza!
 
Back
Top Bottom