Maisha ya ubachela

Maisha ya ubachela

Your probability to be married is nearly 90%. Just show your interest that u are tired with single life!
 
upweke una mambo,Umekaa ukafikiria,ukaona ushushe uzi wa namna hii upate faraja.
Natumai Umeipata.

Za kuambiwa...........ila kiukweli nafarijika sana na hizi comments lol
 
Hivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee nikutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata gafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
We kupiga vizinga hujui?
 
Back
Top Bottom