Ami B Msafir
Senior Member
- Feb 23, 2015
- 100
- 33
Komaaaa
Ni maneno ya kweli hayo? Mbona taarifa zilizopo masponsor wamepotea kutokana na ukata uliopoyaani nawaheshimu sana masponsor hapa mjini
hata naogopa kuolewa
Wanakuwa wakimbizi makwao hoi na mitaani pesa imekataHapa ndo maana ya kuoa inapopotea ,wengine wanaolewa wapate hifadhi
Uamuzi wako kati ya hao wengi wataka uchague anaetoa zaidi mbona wasema wataka kufanya uamuzi bado hujafanya tuWee tangazo liko wapi?? Acha mambo yapo wewe mabwana kibao Ninao ndo nataka nifanye uamuzi tehteh