Maisha ya ubachela

Maisha ya ubachela

Hivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee ni kutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.

Kama saivi gesi imekata ghafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu.

Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.


Mmmmmmmm
 
Hivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee ni kutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!!
mahondaw ,maisha ya ndoa hayana formula..

Unaweza kutamani uolewe ili upate nafuu ya maisha kumbe ndio umejiongezea majanga..

Olewa Kwa kuwa unahisi kuna haja ya kupata mwenza..
Sio kupata unafuu wa maisha.
 
Hivi si niolewe tu? Mbona maisha magumu kiasi hiki? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa we ni kutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee unga umeisha mchele umeisha basi.

Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa. Kama saivi gesi imekata ghafla mkaa sina unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh!.

Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.

KWELI EE SOGEA KWANGU
jf 1.jpg
 
Be it kiurahisi au kiugumu, that fact is NAO YA KUISHIWA YANAWAKUTA.....

Na ukijiozesha kwa maana ya kukimbia kuishiwa, basi utabadilisha sana wanaume...

Maana at least once in six months or a year, kila mmoja ajapitia kuishiwa in a way..!!

Hahahahahahahah haya bana tufanye umeshinda wewe!
 
Back
Top Bottom