Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Pesa itakuaMiujiza ipi??? Pesa au mume??
Pesa itakuaMiujiza ipi??? Pesa au mume??
Njoo tuishi pamoja tu mana mi pia nshachoka kupigwa na baridi na kula salary mwenyeweHivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee nikutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata gafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
Hivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee nikutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata gafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
Teh teh..Bro mbona adimu sana siku hizi?
Njoo tuishi pamoja tu mana mi pia nshachoka kupigwa na baridi na kula salary mwenyewe
Hivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee ni kutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata ghafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu.
Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
Asante sana hii post yako imenigusa kumoyo, naomba waelezee wengine wasiojua nguvu ya mwanamke endapo tu atakuwa mtiifu kwa mwanaume wake! Wengi wanachemsha kwa kujitia u much know usio na msingi ndio maana tunawachezeaga tu sababu hawatulizi akili.Hahaaaaaa ukiweza kucheza na akili ya mume ndoa inakuwaga tamu sana. Coz asilimia kubwa ya wanaume wanapenda sana kutiiwa, na mwanamke akishakuwa mnyenyekevu anaweza kuchomolewa chochote anachotaka ikiwa ni pamoja na kupata amani moyoni hii ndio siri. Lakini ukionesha makucha na kujiona sasa Wewe pia ni kamwanaume kengine hapo kila kitu huvurugika na mwisho utaachia madaraka mwenyewe


Lala bhana acha kuwaza pesaUmetaja salary Usingizi wote umeniisha hahaha Hapana chezea mshahara aisee! Tarehe za karibia mwisho wa mwezi ndugu Wasio Na kazi wala mshahara simu kibaooo nakusalimia nakusalimia hawana lolote wanataka mshiko tu!
Karibu nikufanye mchepuko vitu vidogo kama hvyo nasolve fastaaa! Vitu vidogo saana mm nikajua unataka karange rover kumbe gesi tuuHivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee ni kutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata ghafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu.
Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
njoo nikupe na ajira oryx gas kabisaInaelekea wewe ushakula za USO!Unaeza ukawa nae uyo mme ukataman bora ulivyokua mwenyw.... Shukuru kwa kila jambo
I'm jokingWewe kama sio wa buguruni basi wa sinza au ManzeseHeheheh ukiolewa utabanwajee kutoka mpaka ruhusa uombe,upoo
Hawa ndo huwa tunawatafuna kwa kulipia gas tuu, na wewe ukija ukalipia luku basi unatafuna! Yani hawana tofauti saana na yule anasimama njiani pale ambiance usiku wa mananevitu vinaishaje hivyo while upo peke yako, au ndoa ndo ya kupunguzia makali ya maisha.. ikiwa huwezi pangilia maisha wakati upo pekee utawezaje ya wawili au zaidi
Hebu Njoo kuna mtu anatafuta mke mwenye shida ili aoe kirahisi maana huyo anayetaka kumuoa ana mapozi kila kitu anapata lakini anadai mapema mno kuolewa