Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Ngoja niwahi fastaaTehteh Nenda kasome Nimeendeleza mama P dakika hii yupo kwao anasalimia
Ngoja niwahi fastaaTehteh Nenda kasome Nimeendeleza mama P dakika hii yupo kwao anasalimia
Mwanamke unapenda ubuyu weweTehteh Nenda kasome Nimeendeleza mama P dakika hii yupo kwao anasalimia
Ipo siku utasutwa na mangumiMwanamke umbea kusutwa sunna
Vodacom m-pesa
Mi Mwenyewe tu ndo nazingua kama kuolewa ningeolewa pindi tu nilipomaliza six apart from that wachumba kibao nawakataa mimi mwenyewe
Silaha yenu ni maneno nyie mnaweza kuua mtu kwa manenoSiogopiiiiiiiiiiiiiii Halafu watu kama sisi wenye maneno meeeeeeengi hatunaga nguvu haha
Mbona inawezekana tu kutuma tigo kwenda voda hujaamua tyu
Ila ujue usipokubali kuliwa huwezi kulaa!!!Si nikikuomba ukanijibu njoo uchukue Sa nikija hapo ndo uuwii!
Hehe kumbe nimekubamba ndo baasss tenayaani nawaheshimu sana masponsor hapa mjini
hata naogopa kuolewa
Lazima aombe ruhusaHeheheh ukiolewa utabanwajee kutoka mpaka ruhusa uombe,upoo
Kuliwa nn"Usipokubali kuliwa kidogo hulii"
,,Kwahiyo kuolewa mpaka niliwe sio??
ahahaaa utani humu bna wewe nibanie tuHehe kumbe nimekubamba ndo baasss tena
HihihijiWewe dada acha hako katabia kako ka kuchuna wanaume wa Dar,sawa??