Maisha ya ubachela

Maisha ya ubachela

Asante sana hii post yako imenigusa kumoyo, naomba waelezee wengine wasiojua nguvu ya mwanamke endapo tu atakuwa mtiifu kwa mwanaume wake! Wengi wanachemsha kwa kujitia u much know usio na msingi ndio maana tunawachezeaga tu sababu hawatulizi akili.

Binafsi mpenzi wangu nazidi kumpenda kila kukicha coz hawezi fanya maamuzi yoyote bila kunishirikisha and i really love it. I believe she will make a very great wife kwa mtu atakaemuoa hata incase ikitokea tumeachana mbeleni huko!
For now hawezi kuomba kitu nikamnyima kabisa na hio ipo automatically coz ni mmtiifu sana na anatambua uwepo wangu na anaijua nafasi yake.

Excellent!!!!
 
Hivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee ni kutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.

Kama saivi gesi imekata ghafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu.

Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
Kama mawazo ndo haya, ndoa kuvunjika ni halali...

HIVI MNADHANI HAO MABACHELA WANAUME HAYO ULIYOORODHESHA HAYAWAKUTI..?
 
Hawa ndo huwa tunawatafuna kwa kulipia gas tuu, na wewe ukija ukalipia luku basi unatafuna! Yani hawana tofauti saana na yule anasimama njiani pale ambiance usiku wa manane

Hahahahahahahahaha pole yao nayako pia!
 
Kama mawazo ndo haya, ndoa kuvunjika ni halali...

HIVI MNADHANI HAO MABACHELA WANAUME HAYO ULIYOORODHESHA HAYAWAKUTI..?

Kidole kimoja............................. Halafu sio kwamba ndo nipo nipo tu bila a wala bee
 
Hawa ndo huwa tunawatafuna kwa kulipia gas tuu, na wewe ukija ukalipia luku basi unatafuna! Yani hawana tofauti saana na yule anasimama njiani pale ambiance usiku wa manane

Huo muda wakwenda huko sasa nitaupata wapi??? kutwa nzima nakua biiiiiizeee ifike usiku niache kupumzika zangu mimi nahapo kuamka alfajiri kunanihusu. Awapi hio bado sana kwangu narudia bado sanaaa na haitokuja kutokea
 
Basi ni Heri uendelee kupiga vizinga kuliko kusimama barabarani!
 
anyway,nimekutafakari weeee sijui nikwambie nini.lakini ngoja nianze na hili.
bachelor haolewi! namaanisha hivi BACHELOR= AN UNMARRIED MAN/SINGLE MAN
WEWE NI BACHELORETTE= AN UNMARRIED WOMAN/SINGLE WOMAN
 
Back
Top Bottom