Maisha ya nyumbani raha

Dah humu sio mabaya ila zunguka zunguka utamkuta Filipo anamtongoza dada mmoja.
BTW Umepotea sana aisee weekend wapi nije kujidunga ndofu moja na wewe?

Hee kwani hujui Filipo kashamjaza :mimba:??? Yaan jamaa mbayaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
sasa vile vitu vikikupanda utavitulizaje na kwa jamaa umeshasepa?
 
Unafuga ng'omba ambaye yupo dom? Atachinjwa ataliwa wewe unabaki kung'aa macho

umeiba msitari wangu, we jamaa uko wapi? hebu nipigie twende mahala bana sio unashangaa shangaa huko saba saba kwa chini (nshasau jina)
 
umeiba msitari wangu, we jamaa uko wapi? hebu nipigie twende mahala bana sio unashangaa shangaa huko saba saba kwa chini (nshasau jina)

Pale panaitwa Lumala B.... Kama vipi njoo Ambassador tucheck Match!!!
 

Mwambie akuchukue tu mie nimejijazia sasa. Nina PakaJimmy Vin Dizel na Asprin.


Kwa raha zangu mwanamke wa shoka.
 
Last edited by a moderator:
charminglady nilikuwa nije ambassadors lounge ila mambo yakaingiliana, naangalizia home,

nakala kwa Elizabeth Dominic

tutaonana kesho mgeni akifika
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…