Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

Kwa kweli siwezi bisha
IMG_20200217_102943.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria na nchi hii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unaongelea vitu vinavyokinzana!
Sheria hapa kwetu kawekewa maskini ili asiwabugudhi watawala wanapofaidi mema ya NCHI!
Hao mahakimu na majaji wote hawana jeuri mbele ya Mr president!!!
Nia wapi mbona sioni hata watu kufungua kesi kupinga uonevu huu unaovunja katiba?

Inawezekana kabisa majaji wa mahakama za juu wakawasikiliza na kutoa hukumu za haki, lakini majaji hawawezi kutoa hukumu za haki kama hakuna kesi iliyofunguliwa.

CHADEMA walifungua mashitaka, sijui hata yameishia wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajie mmoja tu ambaye anaweza akatoa hukumu kwa Magufuli kuvunja katiba ya JMT!nataka nimshauri zito aende huko!
Hapana,

Hujawatendea haki. Wapelekee kesi, waache wahukumu bila kufuata haki, halafu, kama kweli wamehukumu bila kufuata haki, unaweza kuwasema.

Sasa wewe unaanza kuwahukumu kabla hata hujawapelekea kesi?

Kuna majaji wengine wanaheshimu viapo vyao. Usiwavunjie heshima kwa kuwalundika wote tu kwamba hawatatoa hukumu za haki.

Pia, ukitaka kukusanya ushahidi kwamba majaji hawatoi hukumu za haki, wapelekee kesi ili uwe na kesi ya kuionesha dunia kwamba hawahukumu kwa haki.

Ukianza kulalamika kwamba hawatoi hukumu kwa haki kabla hujawapelekea kesi, unaonekana wewe una hulka ya ulalamishi tu.

Hili ni moja ya matatizo yetu makubwa, upinzani umejikita kwenye ulalamishi badala ya kutumia legal avenues kufuatilia mambo mpaka mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria na nchi hii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unaongelea vitu vinavyokinzana!
Sheria hapa kwetu kawekewa maskini ili asiwabugudhi watawala wanapofaidi mema ya NCHI!
Hao mahakimu na majaji wote hawana jeuri mbele ya Mr president!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapelekee kesi ya mtego ili uzidi kuithibitishia dunia hilo.

Ukilalamika bila kesi, unaonekana mlalamishi tu.
 
Duh,kamanda mbona kichwa kigumu Sana[emoji3][emoji3][emoji3].unamtesa anayekuelewesha!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kigumu kuelewa lipi?

Nimeshamkubalia hoja yake kwamba mahakama hazitoi haki, kwa namna ya "immanent critique" namuuliza, namuuliza kwamba, sasa zaidi ya kulialia hapa online anafanya nini kubadili hali?

Atapindua serikali?

Sijajibiwa jibu la kueleweka.

Watanzania wengi wanapenda kulalamika, lakini ukiwauliza mpango wa kutekeleza hawana!
 
in leymans language! siasa ni kutengeneza tatizo na kulitatua mwenyewe

Kwa hiyo definition yako, nikikukubalia hata kwa "immanent critique".

Watu wanaotengeneza matatizo na kuyatatua wenyewe unaona ni sawa kuwaacha tu?
 
Mwenzio akinyollewA wewe tia maji!Ina maana hujawahi sikiA mpinzani kafungua kesi kumshitaki raisi kwa kuvunja katiba?na VIP raisi akipatkana na hatia??katba inatuambia afanywe nn?
Wapelekee kesi ya mtego ili uzidi kuithibitishia dunia hilo.

Ukilalamika bila kesi, unaonekana mlalamishi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom