Kibwengo kapokea nchi nzuri kabisa 2015.
- Inakopesheka
- Diplomasia tele
- Urafiki na wazungu tele ( misaada ya kutosha ), hakuna kuwekeana TRAVEL BANS
- Ajira zipo
- Uchumi unakuwa kwa 7%
- Nchi haina majanga makubwa kama VITA, UKAME, MAGONJWA, TETEMEKO, VIMBUNGA
LAKINI,
Ndani ya MIAKA 4 tu !
"Kila Mtu Analia Na KUSAGA MENO.
- Ajira Hakuna
- Watu Wasio Na Hatia Wanapotea
- Watu Wanapigwa Risasi na Kutishiwa Bastola Hadharani
- Maisha Yamekuwa Magumu Kishetani ( Kijijini Kwetu Kulikuwa Na Mabucha 4 Ya Nyama, Leo Hakuna Mnunuzi Wa Nyama, Mabucha Yote Yamekufa, Watu Wanakula Utumbo )
- Diplomasia Imeyumba
- Misaada Inapungua Kila Kukicha ( Suluhisho Wameona Na Kukopa Kwenye Mabank Ya Biashara Ya Mabeberu na Ya Wachina )
- Deni La Taifa Linakua Kwa Mwendo Wa Rocket
- Kila Mbwa Anaebweka Kushtua raia Wema Kuwa Kuna Wezi, Katekwa, Kapigwa Na Kudhibitiwa ( TAKUKURU, MEDIA, BLOGS, MAGAZETI, MITANDAO, OPPOSITION, CAG, PAC ). Wanatafuna bila kelele
TWAFWAAAAAAA