Maisha bila watoto wala ndoa

Maybe awe na vacational purpose otherwise ataokota makopo tu
 
Hakuna utimamu wowote kwa mtu asiyetaka kuwa na watoto, mke au mme ukitoa watu wenye miito hao wapo timamu 100%
 
Ndoa ipo, watoto hatuna (makubaliano yetu)

Maisha kawaida tu, tunaishi vilevile tulikuwa kabla ya kukutana, na kufanya pamoja maisha

(Tumelala hapa, mwenzangu namsikia anashusha pumzi taratibu, na mimi nikaona niingie humu kujua hili na lile).
 
Ndoa ipo, watoto hatuna (makubaliano yetu)

Maisha kawaida tu, tunaishi vilevile tulikuwa kabla ya kukutana, na kufanya pamoja maisha

(Tumelala hapa, mwenzangu namsikia anashusha pumzi taratibu, na mimi nikaona niingie humu kujua hili na lile).
Safi!🔥
 
Kwasasa kila mtu na malengo yake zaidi kuhusu familia na mtoto ni wazo ambalo halipo kichwani mfano 2pac amewahi kusema hawezi kualeta mtoto kwenye dunia iliyojaa unafiki na kila dhoruba
Hakua na sababu y maana
 
Kwa mwanaume, mbilinge zote anazofanya ni kwa ajili ya kuwa na familia yenye ustawi mzuri. Yaan top priority ya wanaume wote ni kuwa na uwezo wa kusimamisha familia atakayojivunia
 
Nimemsikia Dada yake Zay B amesema kwamba Zay B hakuwa na mume wala mtoto.
 
Ndoa sio kitu muhimu lakini kuna nyakati unaonekana umuhimu wa mwanamke mwenye ukomavu wa akili, mwandani, rafiki.
Kuna nyakati unapitia mambo magumu peke yako huwezi unahitaji mpenzi wako angalau akupe bega ulie mpaka nafsi yako itakate(kuna wanaume watajifanya hawalii, kulia ni afya)
Bahati yangu mbaya napata vichwa maji
 
Ukiwa kijana na afya njema uwezi kuona umuhim wa ndoa, lakini ninavyozidi kuwa mtu mzima naona kabisa maamuzi yangu ya ujanani hayakua sahihi, kuna baadhi ya wanawake hawakua smart ila walinipenda kweli ningetuliaga na mmoja kwa sababu nakiri hakuna mwanamke mkamilifu. Mwanamke wa kuwa nae uzeeni na ukiwa na mafanikio ni mashaka sana, hapo hakunaga mapenzi ya kweli ukifilisika ama ukiumwa vizuri wanakimbia.. so kama una nafasi ya kuoa ndoa ni muhimu, watoto sio muhimu saana. Cha msingi hakikisha kama huna watoto una akiba ya kutosha, jiwekeze sawasawa, mpunga ukiwepo huwezi kosa wa kukuuguza
 
📌🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…