Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

Hapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha.

Mimi babu yenu, nimechoka kabisa; hawa warembo wananipa presha, nadhani wanataka nife mapema ii wagawane urithi.
Baba mlezi huyo
 
Mkuu, Kwani ni lazima?

Kama jambo halileti hela, basi hali make sense. Hao hao wanawake ambao wewe unatuma hela hadi unachoka, kuna wahuni wanapiga for Free.

Kwa kila mwanamke, kuna Mwanaume ambae huwa anapiga FREE, Jitahidi uwe miongoni mwao. Usipende kutongoza mademu ambao hawana interest na wewe.

Be a Man, acha kuendeshwa na kichwa kidogo.
No free lunch in Africa...
 
Back
Top Bottom