Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,922
- 61,671
- Thread starter
- #181
Una mia ya karibu hapo?Baba mlezi huyo
Una mia ya karibu hapo?Baba mlezi huyo
Inaweza kuwa sababu, ni nini suluhisho?Tatizo ni umasikini hasa wa update wa wanawake.
Kama haikuathiri, endelea kutumia ni sehemu ya matumizi.Mm nimekula nimekuja kugunduaa kuwa kila wek end natumia zaid ya klaki mbili
Nasubiri mkewe ujue ili uje unipe kipochi manyoya kwa kishindo cha styles zote tena kutwa mara 3 hadi ajute kukusaliti mkuu.Ila hakikisha mkeo asijue...
wapo dunianiHicho kitu kinapatikana sayari ya wapi?
Kuoa na kuolewa.Atatengeneza ajira ipi?
Wanatumia hela kama viwavi jeshiHongera sana kwa kumiliki Warembo 6 kwa wakati mmoja.
Je yaliyomo yamo au hujui uzuri wa gari ni injini?
Dua zitakupeleka wapi wewe, kula maisha ukiwa bado uko duniani.kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Wacha wakukamue haki yao mbona ukienda kupungua uzito hulalamikiHapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha.
Mimi babu yenu, nimechoka kabisa; hawa warembo wananipa presha, nadhani wanataka nife mapema ii wagawane urithi.
Una mia ya karibu hapo?kwa kweli sisi zetu ni dua tu
haya mambo ya kuhonga na kufilisiwa hela hayako kwa binadamu tuWacha wakukamue haki yao mbona ukienda kupungua uzito hulalamiki
Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani sheikh.Je yaliyomo yamo au hujui uzuri wa gari ni injini?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Kijana mmoja hivi mchunga kondoo na mfalme anaitwaImeandikwa na nani?
Ebu tafuta nauli, twende Israel tukashangae galilayaKijana mmoja hivi mchunga kondoo na mfalme anaitwa
Daudi.