Unaoneka huwezi acha Demu mpaka ajikatae mwenyeweNini kifanyike?
Unaoneka huwezi acha Demu mpaka ajikatae mwenyeweNini kifanyike?
Unaumwa ngiri?Nasubiri mkewe ujue ili uje unipe kipochi manyoya kwa kishindo cha styles zote tena kutwa mara 3 hadi ajute kukusaliti mkuu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
HahahahaaaaEbu tafuta nauli, twende Israel tukashangae galilaya
Mwana wa muumba alipita pale, hakutakuwa na shidaHahahahaaaa
unataka hamas, wakatuteke kama october 7 ?
Achana naye, ebu njoo tule mahindi ya kuchomaUnaumwa ngiri?
Maeneo gani? Nipitishie hapa chako ni chako....Achana naye, ebu njoo tule mahindi ya kuchoma
Haina shida, ulishawahi kula mhindi na bia?Maeneo gani? Nipitishie hapa chako ni chako....
Hapana yananoga ee?Haina shida, ulishawahi kula mhindi na bia?
Tumeamia kwenye mahindi, nyama gharamaHapana yananoga ee?
Mahindi na nyama
Sawa ule kiasi...Tumeamia kwenye mahindi, nyama gharama
Kuna ke wengine humiliki mapango, "si kila king'aacho ni dhahabu" mkuu.Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani sheikh.
Ndiyo, nakuaminia utanitibu maradhi yangu mkuu.Unaumwa ngiri?
Njoo na kiwembe....Ndiyo, nakuaminia utanitibu maradhi yangu mkuu.
Kwani yana madhara?Sawa ule kiasi...
Kiwembe au kisu ni kwa mangariba tu na kwa mila na desturi Ke yeyote hapaswi kuwa ngariba.Njoo na kiwembe....
Mimi ni daktari ndg hizo ni zana tuu..😆😆Kiwembe ni au kisu ni kwa mangariba tu na kwa mila na desturi Ke yeyote hapaswi kuwa ngariba.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
😄😄😄 kula mengi kwanza utanipa mrejeshoKwani yana madhara?
ha ha ha sawa😄😄😄 kula mengi kwanza utanipa mrejesho