Muuza Majeneza Used
Member
- Aug 17, 2026
- 12
- 14
Basi wafungulie biashara hata ya kutembeza miwa mtaani au kutembeza mzani wa kupimia uzitoWanafuga makucha, wataweza kulima kweli?
Basi wafungulie biashara hata ya kutembeza miwa mtaani au kutembeza mzani wa kupimia uzitoWanafuga makucha, wataweza kulima kweli?
Wazaz wa wanafunzi na wahisaniWaleta ada watakuwa kina nani?
Hizi fani zingine zinawakosesha ajira, kwenye hii fani mpya watapata ajira wapi?Wazaz wa wanafunzi na wahisani
mambo ya dhahabu mkuu, acha tu! nilienda kwa huyo jamaa duh! masharti kibao mara muoge dawa kwanza, mara udi uwashwe et majini ndo yanaleta dhahabu... duh!Itabidi unitafutie chimbo huko nyarugusu, nimechoka kudharauliwa mjini
unaweza kupata chimbo ukachimba mpaka ukazeeka bila kupata dhahabuItabidi unitafutie chimbo huko nyarugusu, nimechoka kudharauliwa mjini
Wangekubali hizi kazi, wangenipa unafuu sanaBasi wafungulie biashara hata ya kutembeza miwa mtaani au kutembeza mzani wa kupimia uzito
Mi nitaenda na kitabu cha dini tumambo ya dhahabu mkuu, acha tu! nilienda kwa huyo jamaa duh! masharti kibao mara muoge dawa kwanza, mara udi uwashwe et majini ndo yanaleta dhahabu... duh!
Nini kifanyike ili nipate ata kilo 2 ya dhahabu?unaweza kupata chimbo ukachimba mpaka ukazeeka bila kupata dhahabu
Hahahahaaa hakuna mkuu, labda uwende kwenye plant kule kwa juu juu ukapige day tu!Ulizia ulizia pale kwa mwenyekiti
Wote hao unawalisha nini?Mbona wachache hapo mimi katika check list yangu wapo 17 na wote hawajuani..
Remember to die
Remember to live
Hahahaaa... Uwe na imani. mkuu!Mi nitaenda na kitabu cha dini tu
one day nitakufikiaOoooh! basi ni jambo jema, kama tutakuna kwenye hiyo junction ya ushirombo to Rwamgasa maana mimi niko stamico karibu na vibes fm.
Unajua kilo ina Milion ngap?Nini kifanyike ili nipate ata kilo 2 ya dhahabu?
Ok!one day nitakufikia
tafta kitu chenye nguvu kubwa kuliko wanadamu ukiombe kilo hizo ukienda kichwa kichwa utakuwa kama mbuzi ya kafaraNini kifanyike ili nipate ata kilo 2 ya dhahabu?
Imani bila kazi inafanya kazi kweli?Hahahaaa... Uwe na imani. mkuu!
Nikipata hizo hela naanzisha kijiji chenye ekari 200 pale kariakooUnajua kilo ina Milion ngap?
maana 1g nasikia ina 300k sasa hivi.
Hicho kitu kinapatikana sayari ya wapi?tafta kitu chenye nguvu kubwa kuliko wanadamu ukiombe kilo hizo ukienda kichwa kichwa utakuwa kama mbuzi ya kafara
Asiye fanya kazi na asile... imani na kazi mkuu inawezekana!Imani bila kazi inafanya kazi kweli?