Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

Sita wote unawapeleka wapi mkuu, huyo mmoja-wawili tu ni changamoto ije kuwa sita?
Hii chagua chagua inaleta hasara sana, mara mrefu, mfupi, mnene, mwembamba, umbo namba 8, mnato, sio mnato n.k inapelekea kuwa na wengi ili kupata ladha kamili.​
 
Hapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha.

Mimi babu yenu, nimechoka kabisa; hawa warembo wananipa presha, nadhani wanataka nife mapema ii wagawane urithi.​
Kwa sababu tuna date mchwa
 
Back
Top Bottom