Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,155
- 34,316
Breech presentation.Mtoto aliyezaliwa kwa kutanguliza miguu badala ya kichwa, kwa kilugha chenu mnamuita jina gani?
Breech presentation.Mtoto aliyezaliwa kwa kutanguliza miguu badala ya kichwa, kwa kilugha chenu mnamuita jina gani?
Hii lugha ya kikoloni ni ngumu sanaBreech presentation.
Matibabu yake ni yapi?Uzinzi ni gharama bwashee wai matibabu utapona
Basi footling.Hii lugha ya kikoloni ni ngumu sana
kwa hiyo mkuu hutaki zawadi ama!Zile ni hadithi za kusadikika, ukimkanyaga mende akifa, kule anapoenda na wewe utaenda huko huko ukifa; haya mambo ya kujipa matumaini hewa ni biashara za watu.
Hiyo ni kwa lugha ya wenzetu, kwa kimatumbi mnamuitaje?Basi footling.
Zawadi kubwa kuliko zote duniani ni uhai ulionao tu.kwa hiyo mkuu hutaki zawadi ama!
Kashinde.Hiyo ni kwa lugha ya wenzetu, kwa kimatumbi mnamuitaje?
Mahusiano ni uhai, ni vigumu kuachana nayo.
Hayo hapoMatibabu yake ni yapi?
Kawasemee kwa babazaoNdio nawatafutia sababu, lakini ni wabishi kuachika.
Fungua chuo cha kati cha mapenzi.Hapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha.
Mimi babu yenu, nimechoka kabisa; hawa warembo wananipa presha, nadhani wanataka nife mapema ii wagawane urithi.
kwann anasimamisha kama hana hakiMasikini hana haki yakushiriki mapenzi
unaishi katoro?Kesho nitakutafuta, nitakuwa katoro nikupeleke nyarugusu.