min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,834
- 165,652
Bwashee sijasema asilike mangi soma tena 😅😅Nimecheka sana! Mangi hapo kwenye "kutolika" hapo unajidanganya mkuu. Narudia tena, unajidanganya. 😊
Bwashee sijasema asilike mangi soma tena 😅😅Nimecheka sana! Mangi hapo kwenye "kutolika" hapo unajidanganya mkuu. Narudia tena, unajidanganya. 😊
Watamfuata bi mkubwa kudaiUsitoe huduma yoyote watakimbia wenyewe mkuu
Bwashee sijasema asilike mangi soma tena 😅😅
Hatari Sheikh ,ni urithi wetu.Hapa hachomoki mtu
Kuliwa kibumbu ni chake aseeNgoja nisome aisee! 😊
Hapa soli ya kiatu ilishaanza kwenda upande na sina hela ya kununua kingineUkileta shobo za kupenda mtu/watu; tayari unatoboka mkuu. Bili zinakuhusu. It's a game. 😊
Na nyie muanze kutupa helaLakin ss tunafaid
Ndio maana napenda nimpende mwanamke mmoja tu ale pesa yangu atakavyo ila muhimu awe anakunywa na bia na ana akili tu😅
Hapa soli ya kiatu ilishaanza kwenda upande na sina hela ya kununua kingine
Kwa mazingira hayo, kama salio halisomi, utahonga nini au ndio kuishia kutamani na kufokafoka tu?Hatari Sheikh ,ni urithi wetu.
Papuchi unaipenda kulipia hutaki,na papuchi sita zote za nini?Hapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha.
Mimi babu yenu, nimechoka kabisa; hawa warembo wananipa presha, nadhani wanataka nife mapema ii wagawane urithi.
Kuliwa kibumbu ni chake asee
Mahusiano ni uhai, ni vigumu kuachana nayo.Mahusiano ya siku hizi ni hela mkali. Huna hela huwezi pata mahusiano yenye afya. Kwa hiyo tafuta hela, au achana na mahusiano. 😊
Zinatofautiana viwangoPapuchi unaipenda kulipia hutaki,na papuchi sita zote za nini?
Zile ni hadithi za kusadikika, ukimkanyaga mende akifa, kule anapoenda na wewe utaenda huko huko ukifa; haya mambo ya kujipa matumaini hewa ni biashara za watu.Ukifika kwa sir god kuna zawadi yako kakuandalia maana umejua kumuheshimisha kama mwanaume
Jua limekuwa kali sanaAkili zikirudi lazima tu utahisi unatapeliwa.
ChaiHapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha.
Mimi babu yenu, nimechoka kabisa; hawa warembo wananipa presha, nadhani wanataka nife mapema ii wagawane urithi.
Mtoto aliyezaliwa kwa kutanguliza miguu badala ya kichwa, kwa kilugha chenu mnamuita jina gani?Chai