Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

Kwa wale wapiga nyeto beginners watanunua sabuni ya mia tuu, ila kutoka na mwanamke utatumia zaidi ya 50k kwa level ya chini.

Hapo faida unapata zaidi ya sh. 49900 na furaha isiyo na kifani 🔥
 
Hapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha.

Mimi babu yenu, nimechoka kabisa; hawa warembo wananipa presha, nadhani wanataka nife mapema ii wagawane urithi.​
Ukitaka kula vizuri lazima na wewe ULIWE - Jakaya Kikwete

1787157602440.png
 
Back
Top Bottom