Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

Hapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha.

Mimi babu yenu, nimechoka kabisa; hawa warembo wananipa presha, nadhani wanataka nife mapema ii wagawane urithi.​
Tafuta hela maharage hayamalizi gas.
 
Kuna kipindi unakuwa na Wachumba wengi hadi unatamani wakufumanie wakuache.
Ili uanze upya.

Wapenzi 6 ni wengi sana.
Na bado hao wanawake zako 6 wana wapenz wao wawili wawili nje kwa kila mmoja.
Kwahiyo kwa kifupi kwa idadi ndogo hapo mko kwenye mzunguko wa wanaume karibia 20.

Na kama kuna hapo katika wanawake kuna muhudumu wa bar. Basi hesabia Mnashare wanaume 30 .
 
Kuna kipindi unakuwa na Wachumba wengi hadi unatamani wakufumanie wakuache.
Ili uanze upya.

Wapenzi 6 ni wengi sana.
Na bado hao wanawakw zako 6 wana wapenz wao wawili wawili nje kwa kila mmoja.
Kwahiyo kwa kifupi kwa idadi ndogo hapo mko kwenye mzunguko wa wanaume karibia 20.

Na kama kuna muhudumu wa bat hapo. Basi hesabia Mnashare wanaume 30 kabisa.
Hii hatari sana, hii inaashiria wanaume tupo wachache sana.
 
Back
Top Bottom