Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

Duuuh hapana kwa kweliii nilijitahidi kumfanya ajisikie vizuri, lakini Bado ananiona Sina thamani kwake yoyote, saiziii anahangaika na kutuma meseji hapaa kwa namba ngeni TU, na aliomba msamaha kwamba nimpe last Chance Cha ajabu karudia Tena yale Yale, ishaisha HIYO 😎
Kwa kifupi ni hakupendiii
 
Nilikua kwenye narcissistic relationship for 5 good years.Wakati nipo kwenye mahusiano hayo sikujua kama mwenzangu ni Narc, nimekuja kujua tayari nimenyonywa kila aina ya resource niliyokuwa nayo, kuanzia finances mpaka self image.

Na by the time nipo naye ningeambiwa yule mtu ni narcissistic ningegoma kwa nguvu zotee.

Miezi kadhaa imeshapita tangu mahusiano yaishe lakini bado confusion ina niattack sometimes, naona ushetani niliyofanyiwa ila bado nna kile kinotion cha kummiss abuser wangu. Sijui ndo trauma bond wanaita!.

I hope nitapona as I go ila kuwa na mahusiano na narcissist iwe ya mapenzi au mahusiano yoyote ya ukaribu ni "hell on earth".

Hata kama relationship imekufa, you don't move on as you would in a normal relationship. I'm broken, I can feel it deep down, circuitry ya hisia na trust imesha ji short circuit naona.

These people are Devilish! Hey!.
After that relation ,ikija normal good relation utaona kama ni fake maana umeshazoea abuse na kurupushani, utamuacha good person sabab hujazoea

Jipe muda mrefu, kaa bila relation until system itakapo ji restore
 
Kuna demu huyo wa kichagga, ukimuona ni mzuri balaa. Alikuwa anaishi na jamaa na wamepata watoto wawili. Jamaa alikuwa anamtembezea kichapo balaa. Sasa kwa mtu kawaida ukiwazia inakuwaje binti mzuri kama vile amfanye jamaa atoe kichapo.

Duh nilipokuja mchunguza nikasema aisee huwezi mtambua mtu tabia yake kwa anachokisema.

Demu kwanza ni very promiscuous yaani kutoa namba yake kwa mwanaume atakae mshobokea ni dakika 1 tu.

Anakiburi kile cha kuringia uzuri kwamba ukimkwaza then atakufanyia tukio lolote ambalo anajua litakuumiza hisia.

Anatabia ya kufosi anachotaka yeye ndio kiwe bila kuongea yaani she is manipulative indirectly. Anaweza kukwambia anaomba laki tano kwa jambo lake ambalo ni binafsi. Hapo ameshajua kuwa kuna mwanaume atampatia hiyo pesa. So anakupa wewe option aidha umpatie au atajua yeye anapoipata. Kwa kifupi unachezea blackmail.

Anatabia ya kushut down. Yaani anaweza kupotea hewani bila sababu then akaja kupatikana muda anaotaka yeye halafu ukimuuliza anakwambia simu ilizima chaji. Simu inazima chaji zaidi ya masaa 72 kweli?

Anaweza kukwambia kauli tata kama,mimi kuna muda naweza kukaa miezi sita bila kufanya mapenzi,au mimi sipendi urafiki na wanawake sababu wana mambo ya hovyo,wanaume wanajielewa.

Anaweza kukuomba pesa ukamwambia sina kwasasa ntakucheki baadae ngoja nifanye maarifa. Then hiyo baadae ukapata ukamwambia umtumie kwenye namba ipi anakaa kimya makusudi, unampigia hapokei, cha ajabu unashangaa Whatsapp anapost status, unamtext kumuuliza haoni sim zako au? Anakublue tick kisha kimya😂 unaona ngoja upige kimya. Cha ajabu baada ya siku kadhaa anakutafuta anakwambia mbona haukunitumia sasa pesa kama ulikuwa nayo na ulijua naihitaji.

Ukiamua kumpotezea mazima anakuja inbox na sms za kuomba msamaha kwa vitu ambavyo hata yeye ajui. "Naomba unisamehe kama nimekukosea kwa chochote".

Hii ikanifanya kuwatazama wanawake kwa jicho la tofauti sana tofauti na jamii inavyotuaminisha wanaume kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu. Mwanamke sio dhaifu ni mkorofi na anatakiwa kudhibitiwa kisawa sawa. Akiachiwa afanye mambo yake kwa uhuru madhara ni makubwa kwenye jamii.
Mwanamke hawezi nifanyia hayo yote alafu bado niendelee kuwa nae labda niwe nimerogwa.
 
Mtu wa hivyo ni hatari sana na huwa ndio wako hivyo, muogope mtu ambae kila ubaya/kosa katendewa yeye, hanaga alipoharibu. Yeye ni malaika
Hatari sana… umelenga mule mule yaani wanajiona malaika; plus ujuaji mwingi kweli. Majority ni women ambao upringing yao haikuwa nzuri kwa kumkosa Baba wakumkosoa au kumchapa au kumthreaten au kum encourage etc
 
Back
Top Bottom