Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

Duuuh hapana kwa kweliii nilijitahidi kumfanya ajisikie vizuri, lakini Bado ananiona Sina thamani kwake yoyote, saiziii anahangaika na kutuma meseji hapaa kwa namba ngeni TU, na aliomba msamaha kwamba nimpe last Chance Cha ajabu karudia Tena yale Yale, ishaisha HIYO 😎
Achana na hiyo mbusi, umbwa
 
Huyu mtu angekumaliza aisee kuna binadamu hawapendi amani hata kidogo mimi huyu wangu ukikosea jambo dogo tu litakuzwa hilo utanuniwa siku 3 hadi uombe misamaha ya kutosha
Pole sana me nishakuwa huru kwa Sasa na
The way narcissist wapo ukijiondoa kwake wanakosa power watatumia misamaha ya uongo na kulia kama weapon ili mlengwa amuonee huruma na atajaribu kuframe KESI ili ionekane kwamba yeye anasaidia mahusiano yasivunjike wakati huo wewe unavunja mahusiano

Anyway
 
1. Weka mipaka imara

Eleza wazi unachokubali na usichokubali (mfano: hakuna matusi, hakuna kupuuzwa).

Sisitiza mipaka yako kila wakati. Wana tabia ya kujaribu kuivunja.

2. Usichukulie mambo binafsi

Wana tabia ya kulaumu, kukosoa, au kujaribu kukufanya ujihisi vibaya ili wajilinde wao.

Tambua kuwa tabia yao inaonyesha matatizo yao ya ndani, si kosa lako.

3. Dhibiti hisia zako

Jaribu kutojibu kwa hasira au hisia kali wanapokuchokoza.

Zungumza kwa sauti ya kawaida na bila hisia nyingi — usiwape mamlaka juu ya wewe.

4. Punguza utegemezi wa kihisia

Usitarajie uelewa au mapenzi ya kweli kama kutoka kwa mtu mwenye afya ya kihisia.

Tafuta msaada wa kihisia kutoka kwa marafiki, familia, au mtaalamu.

5. Tambua mbinu za udanganyifu

Gaslighting: Kukufanya uamini kuwa hufahamu ukweli ("Hujui unachosema", "Hukumbuki vizuri").

Love bombing: Kukupa mapenzi ya kupindukia mwanzoni, halafu baadaye kukupuuzia.

Kulaumu wengine: Daima ni kosa lako kwa kila kitu.

Unapotambua tabia hizi, zitambue kimoyomoyo ili usikubali kuathirika.

6. Amua mipaka yako ya mwisho

Jiulize kwa uaminifu: "Je, huu uhusiano unanipa furaha au maumivu zaidi?"

Wakati mwingine, kuondoka ni hatua ya busara zaidi kujilinda.

Ukiamua kubaki, fahamu kuwa huenda usipate mahusiano ya kihisia yenye usawa.

7. Tafuta msaada wa kitaalamu

Mtaalamu wa saikolojia anaweza kusaidia kulinda heshima yako ya ndani.

Ushauri wa wanandoa haufanyi kazi iwapo narcissist hataki kukubali makosa yake — hali ambayo mara nyingi ni ngumu.

Kwa msaada wa chatgpt
 
Namba mbili na Tano pia nilizisahau nazo kinaonekana kwa huyu taka taka
 
Its rare kukutana na narcissist women, but to tell you this, ukikutana nae ni living hell kwakweli
Nimeteseka sana kila effort ananiona taka taka,

Kauli anazoongea yeye ni sahihi ila nikiongea Mimi anasema ni Bora ungekaa kimya, mbona unaongea ovyo nk
Nikajitahidi mno ila kwa Sasa hapana
 
Pole sana me nishakuwa huru kwa Sasa na
The way narcissist wapo ukijiondoa kwake wanakosa power watatumia misamaha ya uongo na kulia kama weapon ili mlengwa amuonee huruma na atajaribu kuframe KESI ili ionekane kwamba yeye anasaidia mahusiano yasivunjike wakati huo wewe unavunja mahusiano

Anyway
Mimi ngoja najitahidi kuwa kama malaika niende sawa naye maana mwanzo mgumu sana aisee na huyu hana shida sana
 
Mkuu uwezi amini nipo napika mda huu...
Sasa nimeshika shika pili pili weeeh sijui pepo gan limeingia nikasema ngoja nishike mayai daaah...

Aiseeee acha tui sasa hv zoezi la kupika limebadilkka aiseee ..
Takuja kukupa ushauri badae mana moto unawaka
 
Wakuu habari zenu,

Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .

Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!

1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa

2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano

3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)

4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri

5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke

6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)

7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao

Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano
Seems like there were two of you
 
Back
Top Bottom