Nilikua kwenye narcissistic relationship for 5 good years.Wakati nipo kwenye mahusiano hayo sikujua kama mwenzangu ni Narc, nimekuja kujua tayari nimenyonywa kila aina ya resource niliyokuwa nayo, kuanzia finances mpaka self image.
Na by the time nipo naye ningeambiwa yule mtu ni narcissistic ningegoma kwa nguvu zotee.
Miezi kadhaa imeshapita tangu mahusiano yaishe lakini bado confusion ina niattack sometimes, naona ushetani niliyofanyiwa ila bado nna kile kinotion cha kummiss abuser wangu. Sijui ndo trauma bond wanaita!.
I hope nitapona as I go ila kuwa na mahusiano na narcissist iwe ya mapenzi au mahusiano yoyote ya ukaribu ni "hell on earth".
Hata kama relationship imekufa, you don't move on as you would in a normal relationship. I'm broken, I can feel it deep down, circuitry ya hisia na trust imesha ji short circuit naona.
These people are Devilish! Hey!.