Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

Aisee lakini wanawake wengi wapo hivyo aisee..
Hapo mim mwenyewe nilishashindwa kuelewa, hv unakuta ni matatizo ya akili au hii huwa ni nin, yaan unakuta mtu kakosea kabsa na kosa linaonekana dhahili, lakn unapomsema, anaanza kukwambia "labda na wew una yako, mara unanitaftia sababu, sasa mim nimefanya nini" Yaan ki ukwel kama una hasira unaweza kupasua kichwa cha mtu.
 
Wanawake ambao wanaenda sawa na wenza wao ni wachache sana ukiona nje unaweza kudhani ni watu kumbe hamna kitu kabisaa..
 
Mi nilikimbia mbio ndefu miguu kisogoni, mtu anajijali yeye tu, kwanza zile story za mwanzo mwanzo tu unajua hapa nishayavagaa.

Ungekimbia mwanzo tu, unavoonesha kujali hisia zake na yeye anazidi kuona kumbe anakumudu, ichape kimbia.
 
Wakuu habari zenu,

Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .

Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!

1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa

2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano

3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)

4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri

5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke

6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)

7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao

Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano
Kwanza Poles sana mkuu
 
sweery
 
Hili neno sijui maana ake mkuu. Unaweza nifafanulia kidogo

Hahah 🤣🤣mahusiano yanayoonewa wivu ndio yako na yeye?

Kivipi yaani. Mkuu ww ni wa kutikiswa na mwanamke kweli
Kaka ni mambo ya kipuuzi kweli anyway ngoja nifate maisha yangu tu
 
huwa hawaponi hawa watu.

Duuuh hapana kwa kweliii nilijitahidi kumfanya ajisikie vizuri, lakini Bado ananiona Sina thamani kwake yoyote, saiziii anahangaika na kutuma meseji hapaa kwa namba ngeni TU, na aliomba msamaha kwamba nimpe last Chance Cha ajabu karudia Tena yale Yale, ishaisha HIYO 😎
 
Hapo mim mwenyewe nilishashindwa kuelewa, hv unakuta ni matatizo ya akili au hii huwa ni nin, yaan unakuta mtu kakosea kabsa na kosa linaonekana dhahili, lakn unapomsema, anaanza kukwambia "labda na wew una yako, mara unanitaftia sababu, sasa mim nimefanya nini" Yaan ki ukwel kama una hasira unaweza kupasua kichwa cha mtu.
Ndio maana wengi wao huwa wanapigwa na wanaume kisha inaonekana mwanaume ana mkono mwepesi. Huwa tunawatetea kwasababu wapo wanaoonewa na wanaume ambao wanapiga hata kwa vitu vya kupuuza tu ila wengi wao siku hizi anaweza kukupa sababu ya kumpiga hata kama sio mpigaji wa wanawake.

Unakuta mtu una mastress yako maisha magumu, kenyewe kanakutegemea wewe kwa kila kitu, unataka utulivu na umeshamwambia haupo sawa,anaanza kununa,na kukuletea maviburi ndani hapo. Baadae unakuja kugundua ameanza mazoea na wanaume wengine ili kukutia wivu.

Unapokuja muuliza mwenendo wake anakwambia sasa wewe si upo busy na mambo yako ulitaka nifanyaje?

Yaani wewe unawaza na kutafakari juu ya maisha yenu wawili namna ya kuyaboresha yeye anawaza namna ya kukuchanganya kichwa ili umuwaze yeye zaidi kuliko kuweka akili yako kwenye maisha.
 
Unakutana na wa aina hiyo anakwambia "I was in a toxic relationship" unampa pole unamhug ukidhania yeye ndio victim kumbe 🙂
😂😂😂😂 Inakuwa kama zile movies ambazo jitu linalotafutwa na polisi kwa mauwaji ya watu linakuja kwenye familia nje ya mji huko halafu linajifanya ni pastor ambaye yupo safarini anahitaji hifadhi ya kulala japo usiku m'moja kisha kesho aendelee na safari. Kumbe ni muuwaji.
 
Mtu wa hivyo ni hatari sana na huwa ndio wako hivyo, muogope mtu ambae kila ubaya/kosa katendewa yeye, hanaga alipoharibu. Yeye ni malaika
Kuna demu huyo wa kichagga, ukimuona ni mzuri balaa. Alikuwa anaishi na jamaa na wamepata watoto wawili. Jamaa alikuwa anamtembezea kichapo balaa. Sasa kwa mtu kawaida ukiwazia inakuwaje binti mzuri kama vile amfanye jamaa atoe kichapo.

Duh nilipokuja mchunguza nikasema aisee huwezi mtambua mtu tabia yake kwa anachokisema.

Demu kwanza ni very promiscuous yaani kutoa namba yake kwa mwanaume atakae mshobokea ni dakika 1 tu.

Anakiburi kile cha kuringia uzuri kwamba ukimkwaza then atakufanyia tukio lolote ambalo anajua litakuumiza hisia.

Anatabia ya kufosi anachotaka yeye ndio kiwe bila kuongea yaani she is manipulative indirectly. Anaweza kukwambia anaomba laki tano kwa jambo lake ambalo ni binafsi. Hapo ameshajua kuwa kuna mwanaume atampatia hiyo pesa. So anakupa wewe option aidha umpatie au atajua yeye anapoipata. Kwa kifupi unachezea blackmail.

Anatabia ya kushut down. Yaani anaweza kupotea hewani bila sababu then akaja kupatikana muda anaotaka yeye halafu ukimuuliza anakwambia simu ilizima chaji. Simu inazima chaji zaidi ya masaa 72 kweli?

Anaweza kukwambia kauli tata kama,mimi kuna muda naweza kukaa miezi sita bila kufanya mapenzi,au mimi sipendi urafiki na wanawake sababu wana mambo ya hovyo,wanaume wanajielewa.

Anaweza kukuomba pesa ukamwambia sina kwasasa ntakucheki baadae ngoja nifanye maarifa. Then hiyo baadae ukapata ukamwambia umtumie kwenye namba ipi anakaa kimya makusudi, unampigia hapokei, cha ajabu unashangaa Whatsapp anapost status, unamtext kumuuliza haoni sim zako au? Anakublue tick kisha kimya😂 unaona ngoja upige kimya. Cha ajabu baada ya siku kadhaa anakutafuta anakwambia mbona haukunitumia sasa pesa kama ulikuwa nayo na ulijua naihitaji.

Ukiamua kumpotezea mazima anakuja inbox na sms za kuomba msamaha kwa vitu ambavyo hata yeye ajui. "Naomba unisamehe kama nimekukosea kwa chochote".

Hii ikanifanya kuwatazama wanawake kwa jicho la tofauti sana tofauti na jamii inavyotuaminisha wanaume kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu. Mwanamke sio dhaifu ni mkorofi na anatakiwa kudhibitiwa kisawa sawa. Akiachiwa afanye mambo yake kwa uhuru madhara ni makubwa kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom