Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,445
- 8,056
RIPMtu wa namna hii ni mtihani kwakweli. Kosa la kwake ila atageuza mpaka liwe lako
Anaweza akakutungia uongo mpaka ukabaki unashangaa
RIPMtu wa namna hii ni mtihani kwakweli. Kosa la kwake ila atageuza mpaka liwe lako
Anaweza akakutungia uongo mpaka ukabaki unashangaa
Mbona umetaja tabia za almost wanawake woteWakuu habari zenu,
Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .
Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!
1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa
2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano
3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)
4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri
5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke
6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)
7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao
Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano
Mimi niliwahi kuwa na mwanamke kwa kweli nilikuwa very kind kwake na nice person katika mahusiano yangu na yeye sijawahi kumcheat, nilikuwa na hudumia kulingana na uwezo wangu yeye alikuwa single mother sababu kuu aliniambia ya kuachana na huyo mzazi mwenza alisema ni kuwa alikuwa mlevi, anapigwa sana na hamuudumii, nilikuwa namuhudumia yeye na Kuna wakati mtoto wake, sijawahi kumpiga, sinywi pombe na pia sio mtu wa mademu lakini pamoja haya alinicheat, pia akawa nae anakunywa pombe wakati alikuwa hanywi kabisa alafu Kuna kipindi nilikuwa sipo vizuri financially eti akawa anadai simsadii akiwa ana shida zake yaani misadaa yangu yote niliyomfanyia kasahau. Kupitia huyu manzi nikajifunza kitu moja sitakiwi niwe nice sana kwa mwanamke yoyote nusu bad boy nusu nice person ndio utaenda nao vizuri tangu ni copy hii dhana imenisaidia kutoteseka kwenye mahusianoKuna watu ukidate nao ndo utaelewa kwa nini uliwakuta single
Watu wanaishi na Traumaz kiasi hawaoni hata mema wanayofanyiwa( yaani wameshakua totally blinded na maumivu ya nyuma)Mimi niliwahi kuwa na mwanamke kwa kweli nilikuwa very kind kwake na nice person katika mahusiano yangu na yeye sijawahi kumcheat, nilikuwa na hudumia kulingana na uwezo wangu yeye alikuwa single mother sababu kuu aliniambia ya kuachana na huyo mzazi mwenza alisema ni kuwa alikuwa mlevi, anapigwa sana na hamuudumii, nilikuwa namuhudumia yeye na Kuna wakati mtoto wake, sijawahi kumpiga, sinywi pombe na pia sio mtu wa mademu lakini pamoja haya alinicheat, pia akawa nae anakunywa pombe wakati alikuwa hanywi kabisa alafu Kuna kipindi nilikuwa sipo vizuri financially eti akawa anadai simsadii akiwa ana shida zake yaani misadaa yangu yote niliyomfanyia kasahau. Kupitia huyu manzi nikajifunza kitu moja sitakiwi niwe nice sana kwa mwanamke yoyote nusu bad boy nusu nice person ndio utaenda nao vizuri tangu ni copy hii dhana imenisaidia kutoteseka kwenye mahusiano
Kabisa naungana na weweWatu wanaishi na Traumaz kiasi hawaoni hata mema wanayofanyiwa( yaani wameshakua totally blinded na maumivu ya nyuma)
REST IN PEACE SISTER ♥️Mtu wa namna hii ni mtihani kwakweli. Kosa la kwake ila atageuza mpaka liwe lako
Anaweza akakutungia uongo mpaka ukabaki unashangaa
HakikaKuna watu ukidate nao ndo utaelewa kwa nini uliwakuta single
Pumzika mpenzi 🙏🙏Mtu wa namna hii ni mtihani kwakweli. Kosa la kwake ila atageuza mpaka liwe lako
Anaweza akakutungia uongo mpaka ukabaki unashangaa
No, you are not... You are just this one polite girl, but stubborn as well...Am I a narcissist?! No I'm not
😌
Ongezea mdekaji hapo😍❤️No, you are not... You are just this one polite girl, but stubborn as well...
Hakika...Ongezea mdekaji hapo😍❤️
Kapige nyetoh hukoo😂Kamsemee kwa babaake
Daaah hapo ndo ulikosea mkuu...... yeye alikuwa single mother....
Sikukusea kwasababu sikujenga malengo nae na sio kwamba nilimtongoza ni yeye ndio alianza kunipendaDaaah hapo ndo ulikosea mkuu
Daah maana hapo ni changamoto sasa, ndo maana wengi wanasemaga mwanamke akianza kukutongoza au yeye kuonesha dalili ni malayaSikukusea kwasababu sikujenga malengo nae na sio kwamba nilimtongoza ni yeye ndio alianza kunipenda