Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,463
- 11,335
- Thread starter
- #121
Sio mara zoteeeNyie ni wabinafsi mkipataga mda mnajichagua wenyewe
Sio mara zoteeeNyie ni wabinafsi mkipataga mda mnajichagua wenyewe
Aaaah weeeh nimekoma sirudii TenaWe Nakupenda ila si umeona faida za kunicheat 😁
Hahaha toa comment Yako mkuu, umenaini Nini??Nmesoma comment zote za Uzi huu😊
Hahaha mpka Leo hujamwachaga tu huyo muchepuko mama jHa ha ha....uyo Hana tofauti na mchepuko wangu mamaJ😂
Wakuu habari zenu,
Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .
Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!
1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa
2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano
3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)
4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri
5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke
6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)
7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao
Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano
Kama umeshindwa kutambua jinsia ya niliyetoa mada inaonekana huna consistency kwenye mambo YakoWewe ni "Me" au Ke" ?
Hahaha mpka Leo hujamwachaga tu huyo muchepuko mama j
Hahahha duuh aisee hii ni maajabuTunaachana afu tunarudiana
Nilifikiri unataka kusema ngoja ufikiche macho🙂Mkuu uwezi amini nipo napika mda huu...
Sasa nimeshika shika pili pili weeeh sijui pepo gan limeingia nikasema ngoja nishike mayai daaah...
Aiseeee acha tui sasa hv zoezi la kupika limebadilkka aiseee ..
Takuja kukupa ushauri badae mana moto unawaka
Every dog has it's day. That pile of pain you create on others is summing up,wait until you see the bill you're about to pay for it in total. It will be charged on your narcissistic azz.I’m that type of girl na ayo uliosema ni madogo ila nikidate na mtu tukiachana hawawezi kumove on awe introvert ,extrovert wote watarudi tu 😂🤣 sijui ni nini mtu unamvunja mkono na bado atalia kurudiana . Until Uwe toxic na mean ndo wanaume watakupenda na kukuvalue mm nimenufaika na hio tabia 🤣
We jamaa ni complicator sana😂😂Wakuu habari zenu,
Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .
Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!
1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa
2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano
3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)
4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri
5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke
6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)
7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao
Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano
Kwa nini mkuu🥱🥱We jamaa ni complicator sana😂😂
I miss you more 😍😍 kule kunazingua sijuiMweeeh hahahahaha, I have missed yah so much 🤔🤔🤔🥰
I’m in love with everything u said 😂🤣🤣🤣Every dog has it's day. That pile of pain you create on others is summing up,wait until you see the bill you're about to pay for it in total. It will be charged on your narcissistic azz.
The universe is writing down you bill,it will be on your tab soon.I’m in love with everything u said 😂🤣🤣🤣
Mmmh kunazinguaje😊I miss you more 😍😍 kule kunazingua sijui
🤣Mmmh kunazinguaje😊