Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

Daah maana hapo ni changamoto sasa, ndo maana wengi wanasemaga mwanamke akianza kukutongoza au yeye kuonesha dalili ni malaya
Mwanamke kukuelewa haihusiani na umalaya Wala hakuna connection yoyote sema huyu wa kwangu alikuwa na trauma plus kuwa na watoto ndio maana imepelekea kuwa hivyo alivyo
 
Ndio maana inashauriwa usiwe na mahusiano na mwanamke ambaye ameshakuwa mental demage, emotional destroyed kutokana na past relationship zake huwezi kupata mapenzi ya dhati kutoka kwake
Ni kweli kla sema kwa wanawake wa sasa hivi hawa haswa gen z wamekuwa sugu wa mapenzi assume mtu kaanza mapenzi darasa la saba
 
Ni kweli kla sema kwa wanawake wa sasa hivi hawa haswa gen z wamekuwa sugu wa mapenzi assume mtu kaanza mapenzi darasa la saba
Akishaumizwa huku kihisia na wanaume tofauti tofauti na amesha chukua baadhi ya tabia anaona wewe Kama hao wengine ndio maana anakuja kuapply kwako
 
Tatizo ni kwamba huwezi kumjua mtu kabla anaweza kukufichaaa
Utamjua tu kupitia maongezi yako na yeye ukimfanya mwanamke wako kuwa friendly nae atajikuta tu anaropoka bila kutarajia Mimi nilimjua huyo manzi kupitia tu first date yetu niliona red flags mapema kabisa kupitia mazungumzo yetu Mimi huwa Nina communication skills Nina maswali ya kichokozi Kama usipoweza kumudu ninakujua mapema mno.Tokea hapo nikajua aina gani ya mwanamke ninaingia nae kwenye mahusiano na ndio maana sikuwa na malengo nae ya muda mrefu nilimtumia kusongesha tu mahusiano
 
Duuuh aiseee kuna jamaa kilimlamba kuna wanawake ni mafundi wa kuigiza aisee
 
Tabia ya mtu huwa haijifichi ataigiza ila itafika wakati utaona true colour yake sema watu huwa wanapuuzia red flags ndio maana wanapigwa na vitu vizito
Daah aisee me nikishaona future hamna naona ni kama pomole flani tu niko nalo
 
Back
Top Bottom