Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

I’m that type of girl na ayo uliosema ni madogo ila nikidate na mtu tukiachana hawawezi kumove on awe introvert ,extrovert wote watarudi tu 😂🤣 sijui ni nini mtu unamvunja mkono na bado atalia kurudiana . Until Uwe toxic na mean ndo wanaume watakupenda na kukuvalue mm nimenufaika na hio tabia 🤣
 
Kuna demu huyo wa kichagga, ukimuona ni mzuri balaa. Alikuwa anaishi na jamaa na wamepata watoto wawili. Jamaa alikuwa anamtembezea kichapo balaa. Sasa kwa mtu kawaida ukiwazia inakuwaje binti mzuri kama vile amfanye jamaa atoe kichapo.

Duh nilipokuja mchunguza nikasema aisee huwezi mtambua mtu tabia yake kwa anachokisema.

Demu kwanza ni very promiscuous yaani kutoa namba yake kwa mwanaume atakae mshobokea ni dakika 1 tu.

Anakiburi kile cha kuringia uzuri kwamba ukimkwaza then atakufanyia tukio lolote ambalo anajua litakuumiza hisia.

Anatabia ya kufosi anachotaka yeye ndio kiwe bila kuongea yaani she is manipulative indirectly. Anaweza kukwambia anaomba laki tano kwa jambo lake ambalo ni binafsi. Hapo ameshajua kuwa kuna mwanaume atampatia hiyo pesa. So anakupa wewe option aidha umpatie au atajua yeye anapoipata. Kwa kifupi unachezea blackmail.

Anatabia ya kushut down. Yaani anaweza kupotea hewani bila sababu then akaja kupatikana muda anaotaka yeye halafu ukimuuliza anakwambia simu ilizima chaji. Simu inazima chaji zaidi ya masaa 72 kweli?

Anaweza kukwambia kauli tata kama,mimi kuna muda naweza kukaa miezi sita bila kufanya mapenzi,au mimi sipendi urafiki na wanawake sababu wana mambo ya hovyo,wanaume wanajielewa.

Anaweza kukuomba pesa ukamwambia sina kwasasa ntakucheki baadae ngoja nifanye maarifa. Then hiyo baadae ukapata ukamwambia umtumie kwenye namba ipi anakaa kimya makusudi, unampigia hapokei, cha ajabu unashangaa Whatsapp anapost status, unamtext kumuuliza haoni sim zako au? Anakublue tick kisha kimya😂 unaona ngoja upige kimya. Cha ajabu baada ya siku kadhaa anakutafuta anakwambia mbona haukunitumia sasa pesa kama ulikuwa nayo na ulijua naihitaji.

Ukiamua kumpotezea mazima anakuja inbox na sms za kuomba msamaha kwa vitu ambavyo hata yeye ajui. "Naomba unisamehe kama nimekukosea kwa chochote".

Hii ikanifanya kuwatazama wanawake kwa jicho la tofauti sana tofauti na jamii inavyotuaminisha wanaume kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu. Mwanamke sio dhaifu ni mkorofi na anatakiwa kudhibitiwa kisawa sawa. Akiachiwa afanye mambo yake kwa uhuru madhara ni makubwa kwenye jamii.
WANAWAKE WENGI WANAPOKUWA WAREMBO NA UMRI WA 20-32 NI MAJANGA.WENGI WANAHARIBI MAISHA YA WANAUME WENGI.KWA UFUPI UKIONA DEMU HAMUELEWI INGIA MITINI USIWEKEZE CHOCHOTE KWA MWANAMKE WA STAREHE.JIPE MUDA MREFU KABLA HUJAWEKA KAMBI.MIMI KUNA MMOJA AMEINGIA MIAKA 5 JUZI AMERUDI NIMEMPIMA NIMEKULA MBUNYE KAPITA HIVI HATA GETO SIWEZI KUMUACHA.MAISHA YENYEWE MTIHANI HALAFU UNAPOTEZA MUDA NA MWANAMKE MPUMBAVU.
 
We mtoto wewe mbona me hujawahi nifanyia hivo🤣🤣🤗
 
WANAWAKE WENGI WANAPOKUWA WAREMBO NA UMRI WA 20-32 NI MAJANGA.WENGI WANAHARIBI MAISHA YA WANAUME WENGI.KWA UFUPI UKIONA DEMU HAMUELEWI INGIA MITINI USIWEKEZE CHOCHOTE KWA MWANAMKE WA STAREHE.JIPE MUDA MREFU KABLA HUJAWEKA KAMBI.MIMI KUNA MMOJA AMEINGIA MIAKA 5 JUZI AMERUDI NIMEMPIMA NIMEKULA MBUNYE KAPITA HIVI HATA GETO SIWEZI KUMUACHA.MAISHA YENYEWE MTIHANI HALAFU UNAPOTEZA MUDA NA MWANAMKE MPUMBAVU.
🤣🤣🤣🤣.
 
I’m that type of girl na ayo uliosema ni madogo ila nikidate na mtu tukiachana hawawezi kumove on awe introvert ,extrovert wote watarudi tu 😂🤣 sijui ni nini mtu unamvunja mkono na bado atalia kurudiana . Until Uwe toxic na mean ndo wanaume watakupenda na kukuvalue mm nimenufaika na hio tabia 🤣
Mbona katili sana lakini sweery wewe,
 
Wakuu habari zenu,

Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .

Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!

1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa

2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano

3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)

4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri

5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke

6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)

7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao

Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano
Hii ni kweli, hasa kwa wanawake wembamba
 
K
Mkuu usoni anakuchekea anaenda kukusema vibaya kwa watu ili aonekane yeye huwa hakosei na Mimi ndo mtu mwenye makosa muda wote
Kuna mjinga mmoja, namvumilia sana. Hebu fikiria najifulia nguo, and sometimes najipikia, sasa namuuguza kwa gharama zote, anaumwa shida fulani, halafu bado ananisema kwa watu eti simjali kisa nimekarabati banda fulani lilikuwa limepasuka kiasi lingeanguka. Kwake anaona nimeharibu hela na hajakosa huduma yoyote sababu ya ukarabati huo. Nahisi ni wabinafsi kama wachawi.
 
Daaah wanawake Wana shida, anyway muuguze kwanza akipona .............
 
Kuna demu huyo wa kichagga, ukimuona ni mzuri balaa. Alikuwa anaishi na jamaa na wamepata watoto wawili. Jamaa alikuwa anamtembezea kichapo balaa. Sasa kwa mtu kawaida ukiwazia inakuwaje binti mzuri kama vile amfanye jamaa atoe kichapo.

Duh nilipokuja mchunguza nikasema aisee huwezi mtambua mtu tabia yake kwa anachokisema.

Demu kwanza ni very promiscuous yaani kutoa namba yake kwa mwanaume atakae mshobokea ni dakika 1 tu.

Anakiburi kile cha kuringia uzuri kwamba ukimkwaza then atakufanyia tukio lolote ambalo anajua litakuumiza hisia.

Anatabia ya kufosi anachotaka yeye ndio kiwe bila kuongea yaani she is manipulative indirectly. Anaweza kukwambia anaomba laki tano kwa jambo lake ambalo ni binafsi. Hapo ameshajua kuwa kuna mwanaume atampatia hiyo pesa. So anakupa wewe option aidha umpatie au atajua yeye anapoipata. Kwa kifupi unachezea blackmail.

Anatabia ya kushut down. Yaani anaweza kupotea hewani bila sababu then akaja kupatikana muda anaotaka yeye halafu ukimuuliza anakwambia simu ilizima chaji. Simu inazima chaji zaidi ya masaa 72 kweli?

Anaweza kukwambia kauli tata kama,mimi kuna muda naweza kukaa miezi sita bila kufanya mapenzi,au mimi sipendi urafiki na wanawake sababu wana mambo ya hovyo,wanaume wanajielewa.

Anaweza kukuomba pesa ukamwambia sina kwasasa ntakucheki baadae ngoja nifanye maarifa. Then hiyo baadae ukapata ukamwambia umtumie kwenye namba ipi anakaa kimya makusudi, unampigia hapokei, cha ajabu unashangaa Whatsapp anapost status, unamtext kumuuliza haoni sim zako au? Anakublue tick kisha kimya😂 unaona ngoja upige kimya. Cha ajabu baada ya siku kadhaa anakutafuta anakwambia mbona haukunitumia sasa pesa kama ulikuwa nayo na ulijua naihitaji.

Ukiamua kumpotezea mazima anakuja inbox na sms za kuomba msamaha kwa vitu ambavyo hata yeye ajui. "Naomba unisamehe kama nimekukosea kwa chochote".

Hii ikanifanya kuwatazama wanawake kwa jicho la tofauti sana tofauti na jamii inavyotuaminisha wanaume kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu. Mwanamke sio dhaifu ni mkorofi na anatakiwa kudhibitiwa kisawa sawa. Akiachiwa afanye mambo yake kwa uhuru madhara ni makubwa kwenye jamii.
Ha ha ha....uyo Hana tofauti na mchepuko wangu mamaJ😂
 
Back
Top Bottom