Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,281
- 2,423
Wewe nawe,kila kitu CHADEMA siku ukishidwa kumzalia mume utasema sababu NI CHADEMAHiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Wewe nawe,kila kitu CHADEMA siku ukishidwa kumzalia mume utasema sababu NI CHADEMAHiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
CCM wanachinja viwanda CHADEMA wanafurahiHiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Sio msemo linganifu na swali lake...ameuliza swali sahihi kabisa ...ambalo nimeliuliza pia... Why Dangote...????😲Swali zuri saana,ni sawa na kusema mbona vyama vingine vinamigogoro
Baada ya Awamu ya Viwanda ya JK ikaja awamu ya kuua viwanda na kufufua machinga.Hili jambo litakuwa linamsikitisha hata JK, mwaka 2013 au 2014 JK alikwenda Nigeria, Aliko Dangote akamtembeza kwenye kiwanda chake ambacho ni moja ya viwanda vikubwa vya saruji duniani. Baadaye Dangote ndio akaja kujenga hiki kiwanda Tanzania. Dangote aliletwa Tanzania na JK, baada ya JK kuondoka ndio Dangote akaanza kupata misukosuko. Wakati hiki kiwanda kinajengwa, Aliko Dangote alikuwa anakuja na ndege yake binafsi anatua moja kwa moja Mtwara anaangalia ujenzi unavyoendelea kisha anapaa siku hiyo hiyo anarudi Nigeria. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Hawezi kutumbukiza shimoni uwekezaji kama aliofanya hapa.Hii nchi inazidi kutumbukia shimoni, jana Ngurdoto Hotel imekuwa hostel, leo Dangote anafungasha, sijui kesho itakuwa zamu ya nani..
Hakika watanzania tufunge mikanda, nchi imepatwa.
Uzuri unakili walitumia vibaya... Walipewa 5yrs concecative tax free ikiisha mitano wana declear loss wanatangaza kufilisika kampuni inauzwa (wanajiuzia kwa jina jipya) kufidia madeni...Nakumbuka kipindi cha JK wawekezaji walikuwa wanapewa tax holiday kwa muda fulani japo walikuwa wanatumia vibaya but ilisaidia kuweka mzunguko wa pesa kwenye uchumi na kufanya demand iwe kubwa hivyo kuzidi kuchochea biashara mpya lakini huyu wa sasa hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kujenga jenga tu mavitu yasiyo na maana
Naona Lissu anajipiga vidole huku akijilambaHiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Leo New Habari 2006 wamefungasha vilagoHii nchi inazidi kutumbukia shimoni, jana Ngurdoto Hotel imekuwa hostel, leo Dangote anafungasha, sijui kesho itakuwa zamu ya nani..
Hakika watanzania tufunge mikanda, nchi imepatwa.
Msema kweli ni mpenzi wa MunguBaadaye Tutumie Kauli Mbiu Yetu Kuwa
Mabeberu Yamemshawishi Aondoke Ama
Alikuwa Halipi Kodi Huyu!!
Ngoja Waje Wenyewe
Najiandaa Kununua Kiwanda Mtwara
Ama Serikali Ikichukue Tuhifadhie Korosho
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Dangote to test US$90 power plant for Mtwara cement factory
17 October 2020
Dangote Cement will test run a new US$90m gas-fired power plant in Mtwara, Tanzania, later this month. The plant has been delayed with the outbreak of COVID-19, but it will supply the Mtwara cement plant and reduce Dangote Cement's reliance on coal imports.
The new power plant is due to be fully commissioned in November. The Mtwara plant has not operated at full capacity during 2020, but the new power plant should help energy efficiencies. "We have had mechanical failures of some main equipment in the first four months of the year, and our maintenance to sustain reliability delayed because of the late delivery of material needed for the maintenance of our kiln," said Mr Corcos, Dangote Tanzania country manager.
Published under Cement News11/10
Tagged Under: Dangote Cement Power Plant Tanzania COVID-19 coronavirus East Africa
Alipendelewa kwa lipi? Embu fafanua. Ukilinganisha na wawekezaji wengine siyo unaleta porojo TU hapa.Ndio tuseme yote lakini tusihusishe matatizo ya menejimenti ya makampuni binafsi na sera za uwekezaji. Kushindwa kwao kuendesha hakuhusiani na sera huo ndio ukweli. Kwa mfano kati ya wawekezaji waliokuwa wapendelewa sana ni Dangote hakuna anayepinga hilo.
ktk hali kama hii sidhani kama chadema wanahusika kwa lolote lile. unapoleta ushabiki walo wa ccm, kwenye maisha ya watu yanayotegemea ajira hapo, ujue hujui maisha yako , unasubiri ccm wakutafsirie uishi vp. HALI NI MBAYA KOTEKOTE MAISHA YAMEGEUKA GHAFLA NA BADO MAPEEMA TANGU TUMALIZE UCHAGUZI , KAMA UNAMEGEWA MKATE TOKA LUMUMBA JUA KUNA WASIO NA NAFASI HIYO, SO KUSEMA HIVYO NI KUTOJITAMBUA INGAWA UKO KIBARUANI LKN SOKO , DUKA NA HATA HOSPITALI HUKO KOTE GHARAMA NI ZILEZILE KWA WANA SERIKALI NA WASIO WANA SERIKALI.Hiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.