Mahakama yabatilisha makubaliano ya mgawanyo mirathi ya Mengi

Kuepusha haya ni kufanya Kama alivofanya Mobutu, unanunua nyumba unaandika jina la mkeo kuwa ndio mmiliki, akifa unaoa mwingine Ila zile Mali zinabaki kuwa za marehemu na ukiziuza pesa wanapewa watoto wa mke mkubwa
 
we kweli tahila, utapeli wakati amezaa na marehemu
Jaqueline siyo tapeli, isipokuwa ni mroho. Yeye angetafuta suluhu na nam,na ya kugawana vizuri zile mali. Siyo achukuwe kila kitu, yaani watoto wengine wa mke mkubwa wa Mengi wakose kila kitu. Hiyo siyo haki.
 
Naona Jackline anakitafuta kifo Kwa bidii kubwa.

Anaharibu future ya hao Watoto, huwezi kurithi tu utajiri Kwa MTU umemkuta na Mali zake na ana Watoto wakubwa, hakuna MTU anaweza kukubali upuuzi huu.
Wewe unaongea kwa hisia na mihemko badala ya sheria. Pia hutofautishi mirathi na mgawanyo wa mali ndoa ikivunjika. Ile aliyopewa Mercy (35%) ni mgawanyo wa mali ndoa ilipovunjika. Hii ndiyo maana Mercy hayuko kwenye mirathi. Makosa niliyoyaona ni pale judge alipoirudisha ile 35% kwenye mirathi, hiimina maana mke mdogo anarithi mali ya mke mukbwa. Watoto wa Mengi pamoja na mke mdogo wana haki ya kurithi 65% iliyobaki.
 
Kwani kuuwa mtu ni lazima apigwe risasi?

Kuna Russian mafia wanauwa bila kuacha any tressing, unaijuwa Polonium poison?
Ukitaka umafia unaagiza itman toka nje ya nchi (Congo, Kenya, Burundi, Rwanda, Malawi, Zambia, Nchumbiji, au Uganda. Akimaliza kazi unampa chake anatokomea kwao, nanyi mwamtafuta hapa lokale.
 
Back
Top Bottom