Msaada: Je, ninaweza kumtengua msimamizi wa mirathi?

Tsyamatsy

Senior Member
Sep 9, 2023
109
155
Naomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi.

Marehemu aliacha nyumba moja ambayo sisi warithi wote 6 tulikuwa tunaishi humo kasoro tu msimamizi wa mirathi alikuwa anaishi mbali, lakini ugomvi wa mara Kwa mara kati yetu na kupelekana Polisi ulikuwa hauishi na hatimaye mimi nilimwita msimamizi wa mirathi aje, alipokuja tulikaa kikao kama ndugu, katika kikao hicho tulikuwa 4 tukakubaliana suluhisho ni kuuza nyumba Ili Kila mmoja Apate haki yake aendelee na maisha yake.

Na wale 2 walipojulishwa wakaafiki nyumba kuuzwa, Mimi ni mtoto wa kiume nilipofikiri mara ya pili maamuzi tuliyofikia ya kuuza nyumba nikaamua kugeuka na kukataa. Msimamizi wa mirathi akaamua kwenda mahakamani na warithi wote tuliitwa, wenzangu 5 waliafiki kuuzwa nyumba ila Mimi pekee nilikataa na kutamka mahakamani kuwa hata wakiuza sitopokea hizo pesa. Mahakama ikakubaliana na warithi hao nyumba iuzwe.

Mimi nikazuia kuuzwa Kwa nyumba Kwani nilifungua kesi mahakamani kudai nyumba ni Mali yangu, kesi nikashindwa. Baadae nikafungua kesi nyingine kuwa Mirathi ni batili, nayo nikashindwa, na nikapewa muda wa kukata rufaa, sikukata rufaa ndani ya muda niliopewa.

Kwa kuwa sikukata rufaa na hakukuwa na kesi mahakamani, Msimamizi aliendelea na Zoezi akatangaza kuuzwa Kwa nyumba na ikauzwa kupitia Kwa mwanasheria mwaka 2014 nilikataa mgawo wangu na nikagomea kutoka katika nyumba, Kwa kuwa Mimi ni bouncer walikuwa wananiogopa kunigusa, hatimae msimamizi 2015 akarudi mahakamani kufunga usimamizi wa mirathi na tuliitwa wote na Mimi nilikataa pesa wananiona mimi kama punguani.

Baada ya nyumba kuuzwa Nikarudi mahakamani kuomba kukata rufaa nje ya muda kuhusu kesi yangu ya Mirathi ni batili, mahakama ya wilaya nikashindwa, nikakata rufaa mahakama kuu Nako nikashindwa Mwaka 2020. Baada ya kushindwa mahakama kuu 2020 hiyo hiyo nikaenda Polisi kulalamika kuwa katika kile kikao cha mirathi 2006 mimi sikuwepo na wameiga sahihi yangu. Polisi walifanya uchunguzi wao na wakamkamata msimamizi na kumfungulia kesi ya forgery.

Lakini pia kesi imekwisha hivi majuzi na nimeshindwa. Na sasa nataka KUMTENGUA msimamizi wa mirathi, je imekaaje hii? Je, nitatoboa?
 
Naomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, Tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi. Marehemu aliacha nyumba moja ambayo sisi warithi wote 6 tulikuwa tunaishi humo kasoro tu msimamizi wa mirathi alikuwa anaishi mbali, Lakini ugomvi wa mara Kwa mara kati yetu na kupelekana Polisi ulikuwa auishi na hatimaye Mimi nilimwita msimamizi wa mirathi aje, alipokuja tulikaa kikao kama ndugu, katika kikao hicho tulikuwa 4 tukakubaliana suluisho ni kuuza nyumba Ili Kila mmoja Apate haki yake aendelee na maisha yake. Na wale 2 walipojulishwa wakaafiki nyumba kuuzwa, Mimi ni mtoto wa kiume nilipofikiri mara ya pili maamuzi tuliyofikia ya kuuza nyumba nikaamua kugeuka na kukataa. Msimamizi wa mirathi akaamua kwenda mahakamani na warithi wote tuliitwa, wenzangu 5 waliafiki kuuzwa nyumba ila Mimi pekee nilikataa na kutamka mahakamani kuwa ata wakiuza sitopokea hizo pesa. Mahakama ikakubaliana na warithi hao nyumba iuzwe.
Mimi nikazuia kuuzwa Kwa nyumba Kwani nilifungua kesi mahakamani kudai nyumba ni Mali yangu, kesi nikashindwa. Baadae nikafungua kesi nyingine kuwa Mirathi ni batili, nayo nikashindwa, na nikapewa muda wa kukata rufaa, sikukata rufaa ndani ya muda niliopewa. Kwa kuwa sikukata rufaa na hakukuwa na kesi mahakamani, Msimamizi aliendelea na Zoezi akatangaza kuuzwa Kwa nyumba na ikauzwa kupitia Kwa mwanasheria mwaka 2014 nilikataa mgawo wangu na nikagomea kutoka katika nyumba, Kwa kuwa Mimi ni bouncer walikuwa wananiogopa kunigusa, hatimae msimamizi 2015 akarudi mahakamani kufunga usimamizi wa mirathi na tuliitwa wote na Mimi nilikataa pesa wananiona Mimi kama punguani. Baada ya nyumba kuuzwa Nikarudi mahakamani kuomba kukata rufaa nje ya muda kuhusu kesi yangu ya Mirathi ni batili, mahakama ya wilaya nikashindwa, nikakata rufaa mahakama kuu Nako nikashindwa Mwaka 2020. Baada ya kushindwa mahakama kuu 2020 hiyo hiyo nikaenda Polisi kulalamika kuwa katika kile kikao Cha mirathi 2006 mi sikuwepo na wameiga sahihi yangu. Polisi walifanya uchunguzi wao na wakamkata msimamizi na kumfungulia kesi ya forgery. Lakini pia kesi imekwisha hivi majuzi na nimeshindwa.
Na Sasa nataka KUMTENGUA msimamizi wa mirathi, je imekaaje hii? Je nitatoboa?
Kinachokufanya ukatae kuuzwa kwa nyumba ni nini mkuu?
 
. Sema ulivyo andika kiongozi, 🤔🤔, ungeweka angalau na aya kidogo.
 
Naelewa kwanini unazuia kuuzwa nyumba, ila wenzako wengi wamekubaliana iuzwe. Uzeni nyumba kila mtu akaendelee na maisha yake. Kuna wakati vitu vya kurithi huwa kama zimwi la kutuzuia kutumia mbongo zetu. Ndio maana wengine wanakwepa kabisa kujihusisha na mambo ya urithi.
 
Naomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, Tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi. Marehemu aliacha nyumba moja ambayo sisi warithi wote 6 tulikuwa tunaishi humo kasoro tu msimamizi wa mirathi alikuwa anaishi mbali, Lakini ugomvi wa mara Kwa mara kati yetu na kupelekana Polisi ulikuwa auishi na hatimaye Mimi nilimwita msimamizi wa mirathi aje, alipokuja tulikaa kikao kama ndugu, katika kikao hicho tulikuwa 4 tukakubaliana suluisho ni kuuza nyumba Ili Kila mmoja Apate haki yake aendelee na maisha yake. Na wale 2 walipojulishwa wakaafiki nyumba kuuzwa, Mimi ni mtoto wa kiume nilipofikiri mara ya pili maamuzi tuliyofikia ya kuuza nyumba nikaamua kugeuka na kukataa. Msimamizi wa mirathi akaamua kwenda mahakamani na warithi wote tuliitwa, wenzangu 5 waliafiki kuuzwa nyumba ila Mimi pekee nilikataa na kutamka mahakamani kuwa ata wakiuza sitopokea hizo pesa. Mahakama ikakubaliana na warithi hao nyumba iuzwe.
Mimi nikazuia kuuzwa Kwa nyumba Kwani nilifungua kesi mahakamani kudai nyumba ni Mali yangu, kesi nikashindwa. Baadae nikafungua kesi nyingine kuwa Mirathi ni batili, nayo nikashindwa, na nikapewa muda wa kukata rufaa, sikukata rufaa ndani ya muda niliopewa. Kwa kuwa sikukata rufaa na hakukuwa na kesi mahakamani, Msimamizi aliendelea na Zoezi akatangaza kuuzwa Kwa nyumba na ikauzwa kupitia Kwa mwanasheria mwaka 2014 nilikataa mgawo wangu na nikagomea kutoka katika nyumba, Kwa kuwa Mimi ni bouncer walikuwa wananiogopa kunigusa, hatimae msimamizi 2015 akarudi mahakamani kufunga usimamizi wa mirathi na tuliitwa wote na Mimi nilikataa pesa wananiona Mimi kama punguani. Baada ya nyumba kuuzwa Nikarudi mahakamani kuomba kukata rufaa nje ya muda kuhusu kesi yangu ya Mirathi ni batili, mahakama ya wilaya nikashindwa, nikakata rufaa mahakama kuu Nako nikashindwa Mwaka 2020. Baada ya kushindwa mahakama kuu 2020 hiyo hiyo nikaenda Polisi kulalamika kuwa katika kile kikao Cha mirathi 2006 mi sikuwepo na wameiga sahihi yangu. Polisi walifanya uchunguzi wao na wakamkata msimamizi na kumfungulia kesi ya forgery. Lakini pia kesi imekwisha hivi majuzi na nimeshindwa.
Na Sasa nataka KUMTENGUA msimamizi wa mirathi, je imekaaje hii? Je nitatoboa?
Sasa unamtengua nani mkuu na mirathi imeshafungwa.....
Umesema mwenyewe Mwaka 2015 Msimamizi alienda mahakamani kufunga mirathi...

Sasa unayetaka kumtengua ni nani..
 
Lakini pia kesi imekwisha hivi majuzi na nimeshindwa. Na sasa nataka KUMTENGUA msimamizi wa mirathi, je imekaaje hii? Je, nitatoboa?
Pole sana kwa changamoto mkuu.

Kuhusu kesi ya kumtengua msimamizi wa mirathi huwezi kutoboa maana kwa sasa msimamizi alishamaliza kazi yake kwa kufunga mirathi, hana anachokisimamia tena. Yaani sio msimamizi wa mirathi yoyote. Ulipaswa kuomba kumtengua kabla hajafunga mirathi, ungeweza kufanikiwa.

Halafu hata ungefanikiwa kumtengua msimamizi wa mirathi kwa sasa na kuomba mwingine ateuliwe (hata wewe mwenyewe) bado mahakama isingeweza kuruhusu hilo maana hakuna kitu cha kusimamia. Mali za marehemu zimeshauzwa, sasa utateuliwa ili kusimamia nini??

Kuhusu nyumba, hata ungefanikiwa kuthibitisha kuwa mirathi ilipatikana kidanganyifu, bado usingeweza kuirejesha kwa kuwa mnunuzi analindwa na sheria. Yaani ungeambiwa umdai fedha muuzaji ila nyumba isingerudi kwenu.

Kuhusu mgao wako, kwa kuwa ulikataa mwenyewe kupokea pesa, pia huwezi kuzidai sasa, labda kama zipo kwenye akaunti ya mahakama. Ila kama zilikuwa kwa aliyekuwa msimamizi wa mirathi nako itakuwa ngumu kuzidai.
 
Naomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, Tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi.

Marehemu aliacha nyumba moja ambayo sisi warithi wote 6 tulikuwa tunaishi humo kasoro tu msimamizi wa mirathi alikuwa anaishi mbali, Lakini ugomvi wa mara Kwa mara kati yetu na kupelekana Polisi ulikuwa auishi na hatimaye Mimi nilimwita msimamizi wa mirathi aje, alipokuja tulikaa kikao kama ndugu, katika kikao hicho tulikuwa 4 tukakubaliana suluisho ni kuuza nyumba Ili Kila mmoja Apate haki yake aendelee na maisha yake.

Na wale 2 walipojulishwa wakaafiki nyumba kuuzwa, Mimi ni mtoto wa kiume nilipofikiri mara ya pili maamuzi tuliyofikia ya kuuza nyumba nikaamua kugeuka na kukataa. Msimamizi wa mirathi akaamua kwenda mahakamani na warithi wote tuliitwa, wenzangu 5 waliafiki kuuzwa nyumba ila Mimi pekee nilikataa na kutamka mahakamani kuwa ata wakiuza sitopokea hizo pesa. Mahakama ikakubaliana na warithi hao nyumba iuzwe.

Mimi nikazuia kuuzwa Kwa nyumba Kwani nilifungua kesi mahakamani kudai nyumba ni Mali yangu, kesi nikashindwa. Baadae nikafungua kesi nyingine kuwa Mirathi ni batili, nayo nikashindwa, na nikapewa muda wa kukata rufaa, sikukata rufaa ndani ya muda niliopewa.

Kwa kuwa sikukata rufaa na hakukuwa na kesi mahakamani, Msimamizi aliendelea na Zoezi akatangaza kuuzwa Kwa nyumba na ikauzwa kupitia Kwa mwanasheria mwaka 2014 nilikataa mgawo wangu na nikagomea kutoka katika nyumba, Kwa kuwa Mimi ni bouncer walikuwa wananiogopa kunigusa, hatimae msimamizi 2015 akarudi mahakamani kufunga usimamizi wa mirathi na tuliitwa wote na Mimi nilikataa pesa wananiona Mimi kama punguani.

Baada ya nyumba kuuzwa Nikarudi mahakamani kuomba kukata rufaa nje ya muda kuhusu kesi yangu ya Mirathi ni batili, mahakama ya wilaya nikashindwa, nikakata rufaa mahakama kuu Nako nikashindwa Mwaka 2020. Baada ya kushindwa mahakama kuu 2020 hiyo hiyo nikaenda Polisi kulalamika kuwa katika kile kikao cha mirathi 2006 mi sikuwepo na wameiga sahihi yangu. Polisi walifanya uchunguzi wao na wakamkata msimamizi na kumfungulia kesi ya forgery.

Lakini pia kesi imekwisha hivi majuzi na nimeshindwa. Na sasa nataka KUMTENGUA msimamizi wa mirathi, je imekaaje hii? Je, nitatoboa?
Sasa Ngoja nikujibu swali lako na wapi ulipofanya makosa....

Kwenye Dunia ya Sasa nashangaa unasema "Nyumba ilikuwa ya kwangu" Hiki ni tatizo kubwa...

Sasa sikiliza Mwenye matatizo makubwa ni Wewe na sio msimamizi..
Msimamizi anafata miongozo na ikiwa mojawapo ni kutoamua Kitu cha familia bila kuhusisha Wanafamilia...

Kwa Hadidu Rejea Ulikataa kuhudhuria vikao vyote alivyoitisha (sasa hapa kosa ni la nani?)
Kwa sheria wakitimia asilimia 75 ya wahusika kikao ni halali kama wenzako wote walikuwepo na wewe hukuwepo kikao kilikuwa halali na maamuzi yalikuwa halali...

Na ndio maana umeshindwa kesi zote kuanzia mahakama ya mwanzo mpaka mahakama kuu!

Kiufupi malalamiko yako hayana mashiko wala hayana Umaana kwa sasa...
Ingekuwa kama ungefanya hivyo mwka 2006 ukapinga uteuzi wake pengine ungekuwa sawa....

Naweza nikajenga picha moja hivi...

Mwaka 2006 ulikuwa na Pesa za kutosha na ulikuwa na kibuli sana kwa wenzako ulijiona wewe ni bora kuliko wengine,Hata walipokuambia tunauza nyumba uliwaambia iuzeni tu kwa jeuri yako ya fedha.....

Sasa fedha zimekata unaanza kujutia kwa sababu huna sehemu ya kukaa na pesa ya kodi imekuwa ngumu....
Sasa unatafuta mtu wa kumpa Lawama kwa makosa yako uliyofanya miaka kumi saba iliyopita...
Hakuna Rufaa unaweza kukata ambayo ni ys miaka 17 ambayo sio jinai eti kwa ajili ya madai
 
Back
Top Bottom