Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,344
- 6,403
Mmmmmmm!Lissu alisema kama wameweza kuahirisha kesi Miaka mitatu akiwa Matibabu, waahirishe miezi MIWILI ya uchaguzi.....WAMETII AMRI.
UKINIPIGA, UMENIONEA"
IKINIACHA UMENIOGOPA.
Mmmmmmm!Lissu alisema kama wameweza kuahirisha kesi Miaka mitatu akiwa Matibabu, waahirishe miezi MIWILI ya uchaguzi.....WAMETII AMRI.
Mkuu unamuonaje huyu mwamba lakini?,kumbuka kipindi kile cha uchaguzi Wa urais wa TLS,figisu alizowekewa na jiwe asichaguliwe.Rais wa bendi ya Twanga Pepeta,
Dada hivi ushaolewa?Lisu wenu ndiye akili itakaa sawa baada ya kushindwa kwa aibu uchaguzi, ataenda kunyea ndoo segerea na kuna wanaume huko
Angekuwa yule "SHAHIDI" anayefanya kazi ya uhakimu pale kisutu asingekubaliMahakama ya Kisutu imeahirisha kesi mbili zinazomkabili Tundu Lissu hadi baada ya uchaguzi mkuu mwezi Novemba.
Tundu Lissu anagombea urais wa JMT kupitia CHADEMA.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
=====
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia kesi mbili zinazokabili Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kusikilizwa baada ya kumalizika kwa mchakato wa Uchaguzi Mkuu
Akiwasilisha ombi hilo, Wakili wa utetezi ameomba Mahakama kutopanga kesi za Lissu tarehe za karibu wakati huu wa Uchaguzi kwasababu yupo nje ya Jiji la Dar na hawezi kufika Mahakamani
Wakili Mwandamizi wa Serikali amesema kutokana na Lissu kuendelea na Kampeni akizunguka maeneo mbalimbali, kuna kila sababu ya kupanga tarehe baada ya Uchaguzi ili aweze kufika Mahakamani
Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Augustina Mmbando amekubali ombi hilo na ameahirisha kesi hizo hadi Novemba 6 ambapo zitasikilizwa mfululizo
Mwabieni real men wanamsubiri, amuulize mbowe alikaa muda tu kidogo alitoka ndevu zimebadilika rangi. Beacuse lis is criminal anastahili kuwa huko kwa mens at workDada hivi ushaolewa?
HahahaKama wewe ilivyo mjinga mmoja tuu
Sijui itakuwaje hapo, kwani yeye Lissu anataka sheria hiyo ifutwe ili Rais ashtakiwe!
naona unaota mchana kweupe 🤣Njama mlizompangia eti ashindwe uchaguzi ili afungwe gerezani kwa kesi hizo za uchochezi, akishafungwa Kamati Ya Maadili Ya Mawakili imfutie uwanachama wake (Permanent Removal) kwa kigezo amefanya kosa la jinai.
Ila kitu ambacho hamjafikiria, mungu mkubwa atakapo wadhalilisha na kumpa ushindi wa Urais. Halafu anakutana na Kinga Ya Kikatiba (Immune) ya kutoshtakiwa pamoja na kesi zote dhidi yake kufutwa kwa kinga hio. Mungu mkubwa sana.
Fatma Karume anaapishwa kuwa Waziri Wa Sheria, anaanza kufanya kazi na Wakili Mkuu Wa Serikali (Hapa atakuwa Kibatala) kuwashughulikia mafisadi wote wa CCM kimahakama. Mpaka wale walio dhulumu wananchi Kagera zile eka 25,000 za ardhi na kujimilikisha na wale waliotumia madaraka yao vibaya kwa kutumia silaha za moto kuvamia ofisi za watu na kuwabambikizia kesi wafanyabiashara/raia/waandishi wa habari na kutoa roho za watu bila hatia.
Kweli mungu mwema sana.
Na baada ya uchaguzi raisi hashitakiwi.
Hivyo kesi zimehitimishwa
Kwani hata hivyo wangemshinda kwenye hizo kesi?
Rais hashitakiwiumesoma mwisho kabisa? kesi zitakua ni za mfululizo!!! sasa ajiandae tu kisaikolojia
Hizo ni ndoto tu za alinacha subiri ukweli uje mtaficha nyuso zenu kwa aibu.Njama mlizompangia eti ashindwe uchaguzi ili afungwe gerezani kwa kesi hizo za uchochezi, akishafungwa Kamati Ya Maadili Ya Mawakili imfutie uwanachama wake (Permanent Removal) kwa kigezo amefanya kosa la jinai.
Ila kitu ambacho hamjafikiria, mungu mkubwa atakapo wadhalilisha na kumpa ushindi wa Urais. Halafu anakutana na Kinga Ya Kikatiba (Immune) ya kutoshtakiwa pamoja na kesi zote dhidi yake kufutwa kwa kinga hio. Mungu mkubwa sana.
Fatma Karume anaapishwa kuwa Waziri Wa Sheria, anaanza kufanya kazi na Wakili Mkuu Wa Serikali (Hapa atakuwa Kibatala) kuwashughulikia mafisadi wote wa CCM kimahakama. Mpaka wale walio dhulumu wananchi Kagera zile eka 25,000 za ardhi na kujimilikisha na wale waliotumia madaraka yao vibaya kwa kutumia silaha za moto kuvamia ofisi za watu na kuwabambikizia kesi wafanyabiashara/raia/waandishi wa habari na kutoa roho za watu bila hatia.
Kweli mungu mwema sana.
Rais hashitakiwi
Baada ya matokeo kutangazwa hiyo 1/11/2020 hizo kesi zinajifia
Jiwe aende kwenye matibabu anaumwa nn? huyu atabaki hapahapa kujibu ufisadi wake alioutenda kwa kipindi cha miaka mitanoUchaguzi ukiisha utasikia kuwa anakwenda kwenye matibabu .
Swali la msingi akishinda Je urais inakuaje apo? Na upepo unavyoonekana anaelekea magogoniMahakama ya Kisutu imeahirisha kesi mbili zinazomkabili Tundu Lissu hadi baada ya uchaguzi mkuu mwezi Novemba.
Tundu Lissu anagombea urais wa JMT kupitia CHADEMA.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
=====
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia kesi mbili zinazokabili Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kusikilizwa baada ya kumalizika kwa mchakato wa Uchaguzi Mkuu
Akiwasilisha ombi hilo, Wakili wa utetezi ameomba Mahakama kutopanga kesi za Lissu tarehe za karibu wakati huu wa Uchaguzi kwasababu yupo nje ya Jiji la Dar na hawezi kufika Mahakamani
Wakili Mwandamizi wa Serikali amesema kutokana na Lissu kuendelea na Kampeni akizunguka maeneo mbalimbali, kuna kila sababu ya kupanga tarehe baada ya Uchaguzi ili aweze kufika Mahakamani
Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Augustina Mmbando amekubali ombi hilo na ameahirisha kesi hizo hadi Novemba 6 ambapo zitasikilizwa mfululizo
Na baada ya uchaguzi raisi hashitakiwi.
Hivyo kesi zimehitimishwa
Uchaguzi ukiisha tu akamatwe ili asitoroke kesi zake.Jiwe aende kwenye matibabu anaumwa nn? huyu atabaki hapahapa kujibu ufisadi wake alioutenda kwa kipindi cha miaka mitano
Lazima aoneshe risit halali za manunuzi ya ndege, aeleze alipopeleka korosho za watu na mengine mengi
Kama ni mgonjwa atatibiwa muhimbili huku akisubiri hatima yake
Hebu ona hii ng'ombe inavyofikikilia.!! Et awe Rais...!! Wa nchi ngani kwanza..? Endelea kuota hivohivoNjama mlizompangia eti ashindwe uchaguzi ili afungwe gerezani kwa kesi hizo za uchochezi, akishafungwa Kamati Ya Maadili Ya Mawakili imfutie uwanachama wake (Permanent Removal) kwa kigezo amefanya kosa la jinai.
Ila kitu ambacho hamjafikiria, mungu mkubwa atakapo wadhalilisha na kumpa ushindi wa Urais. Halafu anakutana na Kinga Ya Kikatiba (Immune) ya kutoshtakiwa pamoja na kesi zote dhidi yake kufutwa kwa kinga hio. Mungu mkubwa sana.
Fatma Karume anaapishwa kuwa Waziri Wa Sheria, anaanza kufanya kazi na Wakili Mkuu Wa Serikali (Hapa atakuwa Kibatala) kuwashughulikia mafisadi wote wa CCM kimahakama. Mpaka wale walio dhulumu wananchi Kagera zile eka 25,000 za ardhi na kujimilikisha na wale waliotumia madaraka yao vibaya kwa kutumia silaha za moto kuvamia ofisi za watu na kuwabambikizia kesi wafanyabiashara/raia/waandishi wa habari na kutoa roho za watu bila hatia.
Kweli mungu mwema sana.
Jiwe hana pakutokea kule chato anapotegemea kama exit point tutahimarisha ulinzi wa kutoshaUchaguzi ukiisha tu akamatwe ili asitoroke kesi zake.