residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,023
- 14,533
Kama rais wa nchi ni zero, kuna jipya gani linaloeleweka kutoka kwa wenzake wa 0 unategemea kulipata!!!???Karani f4 ya zero!
Kama rais wa nchi ni zero, kuna jipya gani linaloeleweka kutoka kwa wenzake wa 0 unategemea kulipata!!!???Karani f4 ya zero!
The judiciary is full of incompetent mazafakas! Deputy registrar anaposaini document ambayo ina makosa ya wazi kiasi hiki, tafsiri yake nini? Nijuavyo, hata karani ana at least diploma ya sheria. Kwa hiyo, naye hapaswi kufanya makosa ya wazi kama haya!Lakini hiyo ni kazi ya karani jamani, hapo amesema you must produce on that day nini?😅
Like begets likeKama rais wa nchi ni zero, kuna jipya gani linaloeleweka kutoka kwa wenzake wa 0 unategemea kulipata!!!???
FactWhen stupidity is considered patriotism, it is unsafe to be intelligent
Ndio kasheshe inapoanzia hapo!The judiciary is full of incompetent mazafakas! Deputy registrar anaposaini document ambayo ina makosa ya wazi kiasi hiki, tafsiri yake nini? Nijuavyo, hata karani ana at least diploma ya sheria. Kwa hiyo, naye hapaswi kufanya makosa ya wazi kama haya!
Hatunayooo...!
Hiyo sio barua.Kama barua ni ya kweli ! lipo tatizo kubwa
Barua imeanza '' In the High court...'' halafu kuna stamp ya The high court of Tanzania na mwisho kuna '' given under my Hand and the seal of the court, kisha Deputy Registrar anayeweza kukaimu kazi za Registrar
Makarani wa Mahakama kuu wanapaswa kuwa katika standard . Barua imesanini na Deputy Registrar (bila jina), Deputy Registrar ni cheo kinachohama, nani ameasaini ni muhimu
Barua imechafua Mahakama! ni aibu sana
Hivi Ruling ina maana gani hapa ( Pascal Mayalla ) msaada tutani! maana naona wameombwa kuwa na document za ku support kesi yao!
Na hili kundi ni kubwa sana. Kusubiri maendeleo makubwa ukiwa na hawa watu ni upuuziWafanyakazi wengi wabongo wana utamaduni wa kutokujali mambo
Typing error....
Lugha ndio tatizoIncompetents
Bado hoja ya mkuu hapo ina mashiko, unawekaje saini kwenye cheo pasipo jona la huyo mwenye cheo? Hiyo summons si kila deputy registrar ataikataa kuwa sio yake maana haina jina lake.Hiyo sio barua.
Ni nyaraka ya mahakama zipo tofauti na zinuandaaji wake.
Usije anza kusema mbona hakuna S.L.P
Na Dear Sir.
Kila kada ina tamaduni zake mkuu;Bado hoja ya mkuu hapo ina mashiko, unawekaje saini kwenye cheo pasipo jona la huyo mwenye cheo? Hiyo summons si kila deputy registrar ataikataa kuwa sio yake maana haina jina lake.
Ni sawa na mashtaka, unakuta tu limesainiwa na wakili wa serikali, hakuna jina ilhali kuna gazeti ambapo wametajwa majina. Ukitaka kujua huyo aliyesaini, kweli ni wakili wa serikali au la utafanyaje na ilhali hakuna jina??
Usifikiri Lissu anapopinga wale maaskari kutokua maexpert, na mpaka Jaji Mkuu anaamua kuwatangaza gazetini kuwa ni wataalamu, ni mjinga. Jaji Mkuu alifundishwa, akajifunza na kuona hoja kisheria.Kila kada ina tamaduni zake mkuu;
Usilazimishe mambo.
Ndio maana nikasema hiyo ni nyaraka ya mahakama na sio barua nikimaanisha kuna utaratibu wake maalum wa kuiandaa.
Logic ya kuandika jina la wakili au msajili ni ipi wakati hao sio permanent kwenye hizo taasisi.Usifikiri Lissu anapopinga wale maaskari kutokua maexpert, na mpaka Jaji Mkuu anaamua kuwatangaza gazetini kuwa ni wataalamu, ni mjinga. Jaji Mkuu alifundishwa, akajifunza na kuona hoja kisheria.
Kila kitu cha sheria lazima kiwe na justification, na sheria inajengwa kwa hoja.
Huo utaratibu haubatilishi uhalali wa kuhoji kisheria. Hakuna gharama inayoongezeka kwa msajili au wakili wa serikali kuandika jina lake.