Mahakama Tanzania tunayo, hatunayo?

Mahakama Tanzania tunayo, hatunayo?

Logic ya kuandika jina la wakili au msajili ni ipi wakati hao sio permanent kwenye hizo taasisi.

Hiyo Document imeandaliwa na Mahakama sio mtu jina la mtu la kazi gani?

Huyo msajili anaweza ondolewa hiyi nafasi muda wowote.

Hapo anayeita ni mahakama sio mtu.
Kwani unapouliza kuhusu hiyo nyaraka, unauliza uhalali wake kwa nyakati zote au kwa wakati mtu alioandaa hiyo nyaraka??
 
Mahakama ina watendaji wabovu sana
 
Ni nyaraka ya mahakama zipo tofauti na zinuandaaji wake.
OK sawa sawa! Tuite nyaraka kama unavyodai

1. Je nyaraka inaruhusu kuandikwa '' 11st na your are ''!

2. Barua hii ni wito wa kwenda kufanya nini

3. CHADEMA wafike mbele ya nani?

4. Kwa vile registrar ni ''permanent position' kwa mujibu wako, jina halihitajiki. Hiyo sahihi inakueleza nini?
 
Back
Top Bottom