Naona kuna ukakasi kutumia neno ‘Mahakama ya Tanzania’—ni sahihi kuitaje vipi kwa mtindo rasmi wa kisheria?”
MAHAKAMA ni moja kati ya KICHAKA cha Ma CCM kutekelza maovu yao yaani wanakitumia kama wanavyowatumia GREEN GURD na UVCCM
ROSTAM alisema ..
Huezi kua na CHOMBO kikubwa Ki KATIBA kama...
Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa wakati akikaribishwa ndani ya chama baada ya kurejea akitokea CCM amesema; "Ukiwa na mahakama dhaifu, nchi haiwezi kusimama. Ukiwa na jeshi la polisi dhaifu linalopendelea chama kimoja, lazima migogoro ya nchi itatokea. Ukiwa na mifumo ambayo—kwa sababu hiyo...
Tuweke rekodi sawa, shouldn't be overjoyed by this simple drama!
Hakuna Mahakama hapa ni drama!
Nguzo za Mahakama huru hakuna.
Hakuna Bold Judges, ni Shyster Judges!
Simple as such! Hakuna Mahakama
Hii picha ukiiangalia kwa kawaida unaweza fikiri ni kikatuni na kawaida tu.
Ila ukweli halisi ni kwamba hii picha ni kielelezo tosha juu ya Mhimili gani wa Mahakama tulionao Tanzania sasa. Ni kielelezo tosha kuwa Mahakama ya Tanzania kwa sasa sio tena chombo cha kutoa haki bali ni chombo cha...
Jaji Nduguru ambaye ni kiongozi wa jopo la Majaji 3 kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu. Amesoma ama kutoa maelezo kuwa kataza kataza na pigapiga ya raia inayofanywa na polisi siyoaelekezo ya polisi.
Jana tarehe 15 Septemba 2025. Wakili amepigwa na kunyakuliwa ndani ya viunga vya...
Hongera sana Jaji George Masaju, sina shaka kabisa na wewe kuhusu utendaji wako wa kazi, umeandaliwa vizuri, ulikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na kazi ilionekana, ukaenda kuwa mshauri wa Mhe Rais na kazi imeonekana, sasa piga kazi sisi vijana wako tunaounga mkono serikali hata kama hatuko...
Katika historia ya mihimili ya dola, mahakama ndiyo taasisi ya mwisho ya utoaji wa haki—lakini leo tunaishuhudia ikigeuzwa jukwaa la uonevu na maigizo ya kisiasa. Ni jambo la kusikitisha na la kuaibisha kuona askari wa serikali wakivamia mahakama wakiwa wamevalia mask kana kwamba wanakwenda...
Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha.
Utangulizi
Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022.
Tanzania ina wananchi wapatao Milioni 65+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022.
Wakati Marekani ina idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.